RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

Akasome magazeti sasa tamaa mbaya sana. Akiwa IGP kesho atatamani uraisi
 
Nikweli yawezekana kuna jambo ameliona halipo sawa ndio sababu IGP amemuita makao makuu ili akamueleze vizuri alicho kiona...🤣😂
 
Kama ni hivyo mbona 2015 vyama vya upinzani vilishirikiana kuweka mgombea mmoja wa kugombea urais ina maana walifanya hivyo ili kukabiliana na polisi au hawakuwa wakijua kwamba polisi wanawasaidia ccm?
Unajua rough walizofanyiwa upinzani na police? Unaijua kamata kamata ya upinzani?
 
I wish I could be IGP imemtokea puani, huu ni uhaini huwezi tamani kiti cha boss wako akiwa amekikalia.
 
Unajua rough walizofanyiwa upinzani na police? Unaijua kamata kamata ya upinzani?
Walivyoungana na kumuweka Lowassa ni wazi wenyewe upinzani walishajua kuwa hilo ndio suluhisho kwa hao polisi sasa ajabu kuja kulalamikia tena polisi.
 
Sio kila mambo serious ya nchi ni ya kufanyia utani.
Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel ni comedian flan hiv anapenda utani, mchangamfu sana lkn yote Tisa jamaa anaupendo sana. Mara ya kwanza kukutana nae room nilikua simuelewi kabisa lkn baadae nikagundua jamaa ana amani sana moyoni mwake.
 
Ccm ilisaidiwa kuiba kura na police,ukumbuki ya maboksi
Hilo kila siku linasemwa sasa wao walivyoshirikiana hawakujua kama polisi wanasaidia ccm kuiba kura au huo muungano ulikuwa na malengo gani?
 
Walivyoungana na kumuweka Lowassa ni wazi wenyewe upinzani walishajua kuwa hilo ndio suluhisho kwa hao polisi sasa ajabu kuja kulalamikia tena polisi.
Lowasa ndie aliyeshinda ccm vs police wakaiba matokeo.

Police wa Malawi ndo wapo huru awalindi chama
 
Hilo kila siku linasemwa sasa wao walivyoshirikiana hawakujua kama polisi wanasaidia ccm kuiba kura au huo muungano ulikuwa na malengo gani?
Naona unawaza buku 5 za lumumba tu unauliza km mtu asiye na akili kabisa km yalivo maccm
 
Yah... Hawana kazi nyingine zaidi ya kushughulikia wapinzani...
Kama wapinzani tu ndio waharifu basi polisi wanatekeleza wajibu wao ndio kazi yao kushugulika na waharifu.
 
Alitamani kuwa vyeo vya juu vya geshi la Polisi. Alitakiwa atamani na kujua siku moja atakuwa sio RPC kuelekea afisa dawati.

Maisha ni nzunguko wako walio rudishwa wilaya/ mikoani kutoka taifani eg CAG wa sasa lakini baadaye wakarudi kuwa viongozi wa kitaifa.

Ajishushe asubiri dunia inaendelea kuzunguka.
 
Naona unawaza buku 5 za lumumba tu unauliza km mtu asiye na akili kabisa km yalivo maccm
Kama maccm hawana akili ilikuaje wapinzani (wenye akili) ile 2015 kwenda kumpa nafasi Lowassa liccm(wasio na akili) ya kugombea urais?

Ina maana hawakuwa na mtu mwenye akili huko upinzani?
 
Lowasa ndie aliyeshinda ccm vs police wakaiba matokeo.Police wa Malawi ndo wapo huru awalindi chama
Nakwambia hivi hakuna uchaguzi ambao wapinzani hawasemi kuwa walishinda ila siku zote lawama kwa hao polisi,

Sasa mimi nauliza ule ushirikiano wa vyama pamoja na kwenda kumchukua mwana ccm na ambaye mlimpa tuhuma za ufisadi mlitaka ndio apambane na hao polisi?
 
Back
Top Bottom