Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sasa Lowassa mlimchukua wa nini na mlishirikiana ili iweje ili hali mnajua kuna kuporwa ushindi?Walipora ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Lowassa mlimchukua wa nini na mlishirikiana ili iweje ili hali mnajua kuna kuporwa ushindi?Walipora ushindi
Unaweza kutamani lakini sio public kama alivyofanya akijua yeye anafanya kazi chini ya Sirro ambaye cheo chake ndio anakitamani badala yake., amekosea sana, sana
Wadau wametoa maoni yao juu ya kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC), Wankyo Nyigesa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumteuwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania haliyakuwa (IGP) Simon Sirro bado anaihudumia nafasi hiyo.
Baadhi wamesema siyo jambo baya kwa mtu kutamani cheo fulani huku wengine wakisema siyo sawa kutamani nafasi ya juu wakati aliyonayo hajaifanyia kazi ipasavyo.
Mratibu wa Mtandao wa Kutetea Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumo, alisema mtu kutamani cheo cha juu siyo dhambi bali inaweza kutafsiriwa tofauti endapo atatumia njia za hujuma kupata nafasi anayoitamani.
“Siyo vibaya kuomba kuteuliwa, huwenda kuna kitu kakiona kuwa hakiko sawa na kufikiri kuwa endapo atapatiwa nafasi hiyo anaweza kukirekebisha hivyo huo ni ujumbe kwa IGP aliyopo,” alisema Olengurumwa.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga alisema misingi ya kiutendaji kazi au cheo cha kuteuliwa hakiombi ila Rais humteua mtu pale atakapoona kuwa anafaa.
“Watu wote hawawezi kuwa nafasi za juu usitamani cheo kikubwa wakati katika nafasi uliyopo bado hujatatua yaliyopo, katika mkoa alipopelekwa kuna mambo mengi ya kipolisi hayapo sawa hivyo tulitegemea angewaambia wanaKagera kuwa huko anakokwenda atafanya nini kutatua changamoto zilizopo,” alisema Anna.
Akizungumza jana Kibaha Mkoani Pwani wakati wa sherehe za kumuaga baada ya kuhamishwa katika mkoa huo na kupelekwa Kagera RPC Nyigesa, alisema moja ya malengo yake na ndoto zake kubwa ni kuteuliwa kuwa Mkuu wa Polisi nchini (IGP) na anatamani Rais amteue huku akiahidi kuwa atafanya kazi kubwa.
Alibainisha kuwa awali alikuwa anajiandaa kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) na Kamishna wa Zanzibar, lakini baada ya nafasi hizo kuchukuliwa sasa anajiandaa kuwa IGP, na aninaamini kwamba Rais Samia anayasikia maombi yake.
“Siku moja tafadhali niteue kuwa IGP, mimi naamini nitafanya makubwa, huwa ninaomba sana Mama (Rais) siku moja aniote tu halafu anitamke tu niwe IGP, Mimi nitamuomba nifanye miaka mitatu halafu nimwambie Mama mimi nakukabidhi naondoka unaonaje hapo,” alisema Nyigesa.
“Binadamu lazima uangalie mbele, natamani kuwa IGP, najua IGP aliyopo Sirro hajafanya makosa anafanya mazuri, lakini mimi nitafanya mazuri zaidi, matarajio yangu ni hayo, unajua binadamu lazima uwe na malengo ya mbele, uwe na ndoto kubwa, huwezi tu kuwa una malengo ya kwamba nitaendeela tu kuwa RPC…mimi nataka kuwa nafasi za luu, ili nifanye makubwa kwa faida ya Watanzania wengi kuliko wa mkoa mmoja,” alisema Nyigesa.
Aliongeza kuwa anaamini siku moja Rais atakapomuona vizuri anaweza kumpa U-IGP na matamanio yake ni kuhudumu katika nafasi hiyo, na alimuhakikishia mkuu huyo wa nchi kuwa endapo atamuona anafaa na kumteua atakuwa amepata mtu sahihi kwa wakati sahihi.
Source: Nipashe
Kuna aliyetamani kuwa mkuu wa malaika na nadhani ameshapewa nafasi hiyo sasa.!!

Aweke wazi anakitamani akafanye reforms zipi?Kwani ni dhambi kutamani cheo kikubwa
Ukikua utaelewa nduguSasa Lowassa mlimchukua wa nini na mlishirikiana ili iweje ili hali mnajua kuna kuporwa ushindi?
Haujajaribu hata kuelezea hicho unachosema nikikuwa nitaeleaa.Ukikua utaelewa ndugu
Imeshatokea tayariNaona huyu jamaa u rpc ameuchoka,
Asubiri kupangiwa kazi maalum hivi karibini ya kuchemsha chai makao makuu ya polisi.
Ndiye aliyezuia msafara wa TAL. Ataenda makao makuu tu!Hivi huyu jamaa sindio 2020 alikesha road kuzuia msafara wa TAL usifike Kibaha?
Naona huyu jamaa u rpc ameuchoka,
Asubiri kupangiwa kazi maalum hivi karibini ya kuchemsha chai makao makuu ya polisi.
Labda kama u mgeniHaujajaribu hata kuelezea hicho unachosema nikikuwa nitaeleaa.
Nasikia ameshapangiwa HQ na uRPC kapelekwa mtu mwingineVyeo Alivyovitaka Ni Hivi:-
1.DCI Director Of Criminal Investigation ~Kimeshajazwa
2.Kamishna Zanzibar ~Kimeshajazwa
3.IGP ~Yeye Nadhani, Kaona Ipo Ipo
Ukisikia Nyani Katema Bungo Na Siyo Msimu Wa Maembe Ndiyo Hii Ya Nyegesa
Atatiwa Msukosuko Na Wenzake Mpaka
Ameshanyolewa Nyota ZakeNasikia ameshapangiwa HQ na uRPC kapelekwa mtu mwingine
Tayari kakaWatamshusha sasa hvi
Keenda MakaoMuda si mrefu hana RPC,atakwenda kufundisha CCP au kusoma magazeti makao makuu.Fitina zao nizaidi ya Lumumba.