RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

Huko Kagera kafanya makubwa? Ni jambo jema.

Naomba na wale wanaosema Makamba JR amezingua kwenye umeme wajitokeze watangaze kuomba hiyo nafasi Ili kukomesha kukatika kwa umeme,wakishindwa washughulikiwe ipasavyo.
 
Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel, ni kama comedian flan hiv anapenda utani sana,

Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel ni comedian flan hiv anapenda utani, mchangamfu sana lkn yote Tisa jamaa anaupendo sana. Mara ya kwanza kukutana nae room nilikua simuelewi kabisa lkn baadae nikagundua jamaa ana amani sana moyoni mwake.
Hata mimi nilichulia ni utani, ila kwenye utani pia inatakiwa mtu uwe makini sana, ni rahisi zaidi kwa watu kutafsiri tofauti na ulivyomaanisha na hali hiyo ikapelekea kukugharimu kama ilivyotokea kwa yule Mkuu wa mkoa aliehamasisha wananchi waje kwa wingi na mabango kumlaki raisi atapokuja kutembelea mkoa wao.
 
Hivi ninavyoandika ujumbe huu tayari Wankyo Nyigesa kikazi anasomeka yuko makao makuu ya jeshi la polisi Dodoma
yani jamaa kwa cheo chake hicho anautaka u IGP wakati kuna ma kamishna kibao yeye atulie sasa hapo dodoma
 
Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel, ni kama comedian flan hiv anapenda utani sana,

Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel ni comedian flan hiv anapenda utani, mchangamfu sana lkn yote Tisa jamaa anaupendo sana. Mara ya kwanza kukutana nae room nilikua simuelewi kabisa lkn baadae nikagundua jamaa ana amani sana moyoni mwake.
Mkuu,roommate wako Mabibo Hostel mwaka gani??nahisi huyu Wankyo ni Depomate wangu CCP lakini sina uhakika
 
Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel, ni kama comedian flan hiv anapenda utani sana,

Wankyo Nyigesa ni room mate wangu mabibo hostel ni comedian flan hiv anapenda utani, mchangamfu sana lkn yote Tisa jamaa anaupendo sana. Mara ya kwanza kukutana nae room nilikua simuelewi kabisa lkn baadae nikagundua jamaa ana amani sana moyoni mwake.
Amekutuma??
 
Back
Top Bottom