RPC Arusha Anatosha Kwenye Nafasi Aliyonayo ya Kamanda wa Polisi?

RPC Arusha Anatosha Kwenye Nafasi Aliyonayo ya Kamanda wa Polisi?

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808
John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi!


View: https://x.com/tanpol/status/1889867546050039931?t=oqQZKG55TfluM2K6FrYdqg&s=19

20250214_105406.jpg

Sikiliza mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wakitoa ushuhuda wa dereva kupigwa risasi na huyo John Peter



View: https://youtu.be/vkwq5klttDw?si=Fr4x7aipzXJrxBQb
 
Hatushi huyu Rpc,wamtumbue bila kusita hata makao makuu asikae,apelekwe Nkasi!
Wakamroge.
Kuna jamaa Jw alienda date huko Nkasi kutoka 44 akawa anakula m ususu anadanganya ataoa weeee!!!. Alikula kitu Moja roho inapenda. Yuko 971 rgt hapo haamini macho yake.
 
Back
Top Bottom