IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa
RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi
Source ITV habari

Jumanne Murilo ZPCRamadhan Kingai.RPC
Jumanne Murilo. RPC
Kingai
Namfagilia sana RPC Kitwinki; jamaa yuko smart sana, anastahili nafasi hii.IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa
RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi
Source ITV habari
Huko hawamuachi salama kiazi yuleAmetesa Sana watu huyu Dog Acha aende zake Huko kigoma akalogwe
Typing error wakati fulani zinatokea. Mfano hata wewe hapa umeandika "unakimbuzana" na mtu kwenye kupost? Badala ya 'unakimbizana.....'Rco wa yanga ??!! Muwe mnatulia kwani ulikuwa unakimbuzana na mtu kwenye kupost?
Ameenda kufichwa kwa aibu ile ya kesi ya mboweIGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa
RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi
Source ITV habari
Anaenda mpkani kabisa itakuwa aibu sana kwakeHatimae Ameliacha JIJI MUNGU ni MWEMA
Na kes ya mchongo ikaishia njiani aibu kubwa sanaPGO imekwenda na kuwafikia wana kigoma
Nawaza anajisikiaaje au anadhani ni uhamisho wa kawaidaAmetesa Sana watu huyu Dog Acha aende zake Huko kigoma akalogwe
Tu-tecno na infinix ukiandika tanga inakuja yanga.... ukiandika Simba inakuja mimba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Rco wa yanga ??!! Muwe mnatulia kwani ulikuwa unakimbuzana na mtu kwenye kupost?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tu-tecno na infinix ukiandika tanga inakuja yanga.... ukiandika Simba inakuja mimba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umewaza mbali mtumishiMzee wa Pgo hapo furaha kama yote,Dar to kigoma ni mileage zaidi ya mamilioni ya kutosha analipwa hapo,
Atakumbukwa siku zote kwenye kesi ya Mh Mbowe kulikoibuka hoja za PGO .IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa
RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi
Source ITV habari
Mlisha mtengeneza?Vp tumbo lake lake liimeacha kuhara hara?