RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni ahamishiwa Kigoma katika mabadiliko ya kawaida ya Jeshi

IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa

RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi

Source ITV habari

Huyo alopelekwa kigoma akafanya kama alokuwa anafanya hapa aone mziki wake
 
IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa

RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi

Source ITV habari

Ramadhan Kingai.RPC
Jumanne Murilo. RPC
 
IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa

RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi

Source ITV habari
Namfagilia sana RPC Kitwinki; jamaa yuko smart sana, anastahili nafasi hii.
 
Rco wa yanga ??!! Muwe mnatulia kwani ulikuwa unakimbuzana na mtu kwenye kupost?
Typing error wakati fulani zinatokea. Mfano hata wewe hapa umeandika "unakimbuzana" na mtu kwenye kupost? Badala ya 'unakimbizana.....'

All in all, watu wa Kigoma wajiandae tu kwa muvi za kila aina, za mauaji ya ndugu zao kwa kigezo cha ujambazi.
 
IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa

RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi

Source ITV habari
Ameenda kufichwa kwa aibu ile ya kesi ya mbowe
 
Hongera zake kwa kupanda zaidi.
tunamtakia kazi njema. Mkoa wa Kigoma una changamoto nyingi zaidi kuliko alipotoka.

KIGOMA kuna matukio ya uhalifu mengi zaidi, wahamiaji haramu wa Burundi na DRC Congo wote hao wanachangia kuhatarisha usalama, apambane na magendo, n.k
 
Tu-tecno na infinix ukiandika tanga inakuja yanga.... ukiandika Simba inakuja mimba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IGP Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye safu ya makamanda wa mikoa

RPC Jumanne Kingai wa Kinondoni amehamishiwa Kigoma na nafasi yake imechukuliwa na RPC wa.Lindi
Kadhalika aliyekuwa RCO wa Tanga anakwenda kuwa RPC wa Lindi

Source ITV habari
Atakumbukwa siku zote kwenye kesi ya Mh Mbowe kulikoibuka hoja za PGO .
 
Back
Top Bottom