RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga

Kusema tutawahamasisha wananchi wasilipe Kodi siyo kosa!?..huo ni uhujumu uchumi na pia uhaini,serikali yoyote duniani inategemea Kodi kuwa hai,na ikiwa kweli wamedakwa na kamanda kasema Hana taarifa..basi mpigieni simu ulimboka
Mpaka sasa tunajua walipo , usicheze na sisi mkuu , sisi ni nchi ndani ya nchi , hata mnaowatuma wamechoka , ikiwa mkataba wa bandari ulivunjishwa ndio tushindwe kuvujishiwa alipo Mwabukusi ?
 
Mpaka sasa tunajua walipo , usicheze na sisi mkuu , sisi ni nchi ndani ya nchi , hata mnaowatuma wamechoka , ikiwa mkataba wa bandari ulivunjishwa ndio tushindwe kuvujishiwa alipo Mwabukusi ?
Msingewahi kuripoti kupotea kwao, wangepotezwa mazima.

There is no EVIL plan without a mistake.

Watashindana lakini hawatoshinda!!!
 
Mpaka sasa tunajua walipo , usicheze na sisi mkuu , sisi ni nchi ndani ya nchi , hata mnaowatuma wamechoka , ikiwa mkataba wa bandari ulivunjishwa ndio tushindwe kuvujishiwa alipo Mwabukusi ?
Kawachukueni
 
Polisi wana utaratibu unaowaelekeza namna ya kumkamata mtuhumiwa. Kama taratibu hizo zisipofuatwa, wananchi inabidi kuchukua sheria mkononi maana hao watakuwa ni majambazi, na siyo polisi.
Unachukua sheria mkononi ukiwa JF kamanda
 
Hahahaha mbowe katuma kikundi kuwateka hahahaha
 
Magufuli alileta Diipii weld ipi
Kamuulize kabudi, au pitia tovuti y ICSID uone sheria za Magu na Kabudi zinavyotutesa leo. Hii fresh kairipuwa bwana mdogo wake:

  • Claimant(s)/Nationality(ies): (i)
    Brian Malcolm Thomson (British), Pennyroyal Limited (Mauritian)
  • Respondent(s):
    United Republic of Tanzania (Tanzanian)
  • Date Registered:
    July 20, 2023
  • Party Representatives​

  • Claimant(s):
    Steptoe & Johnson, London, U.K., and Washington, D.C., U.S.A.
  • Respondent(s):
    Office of the Solicitor General, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania
  • Status of Proceeding:
    Pending
  • Latest Development:
    July 20, 2023 -
    The Acting Secretary-General registers a request for the institution of arbitration proceedings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…