RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga

Mpaka sasa tunajua walipo , usicheze na sisi mkuu , sisi ni nchi ndani ya nchi , hata mnaowatuma wamechoka , ikiwa mkataba wa bandari ulivunjishwa ndio tushindwe kuvujishiwa alipo Mwabukusi ?
Afadhali.
Kumbe wapo mikono salama!
 
Mpaka sasa tunajua walipo , usicheze na sisi mkuu , sisi ni nchi ndani ya nchi , hata mnaowatuma wamechoka , ikiwa mkataba wa bandari ulivunjishwa ndio tushindwe kuvujishiwa alipo Mwabukusi ?
Ila twaomba Allah awasaidie wasitolewe uhai wao! Huyu Mama ni Muislam mwenzetu lakini hajui sifa za islam.
Kwa haya wafanyayo ipo siku M/Mungu atawaumbua tu!
 
Hicho ni kikosi maalum kutoka makao makuu ya polisi
 
Kama dhalimu alikuwa ni muoga wa kutupa. Kilichokuwa kinamfanya ufanye ule ukatili ni roho mbaya na wivu. Lakini alikuwa ni bonge la muoga.
Shujaa Magufuli alikuwa na hofu ya Mungu wa mbinguni!
 
Huo ndio wimbo wao baada ya ukamataji, hata tukio la kuuawa Mwngosi mkuu polisi alisema hivyohivyo.
 
Kama hana taarifa wapo wanachunguza ni nini Kimejiri ?, Au nini Kazi ya Polisi ?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…