GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kuna mahala kwa sasa ambako Wakazi wake wanalia kwa Kuibiwa na Vibaka mchana na kuingiliwa na Majambazi nyakati za Usiku ni wale Waishio maeneo ya Mbweni.
Kuna maeneo kama Kawe, Mwenge, Kunduchi, Mgulani, Ukonga, Gongo la Mboto, Makumbusho, Mbweni, Oysterbay Msaada Kontena, Kurasini na Lugalo GENTAMYCINE nikiskia kuwa kuna Vibaka na Majambazi napatwa na Mshangao na kujiuliza Maswali mengi yasiyo na majibu ya haraka.
Poleni Wakazi wa Mbweni hasa mliolizwa katika Majumba yenu Weekend hii na kuna Ndugu Wawili Dada Mtu Kaibiwa Nyumba nzima Mchana na Kaka yake aishiye Mbweni huko huko Yeye Kalizwa ( Kaibiwa ) Usiku pamoja na Gari lake.
RPC Muliro anza Kupamulika Mbweni.