RPC Muliro kuna nini kwa sasa Mbweni mbona kuna Vibaka na Ujambazi mwingi?

Huwa hampapaswi pia?
 
RPC Moto usalama muhimu sana
 
Kuibiwa Mchana na Vibaka au Usiku na Majambazi kwa sasa Mbweni ni kawauda mno na Wakazi wa Kishua wa Eneo hilo wanalia sana Mkuu.
Kuna haja ya kuimarisha usalama katika maeneo hayo. Jeshi la polisi liangalie suala hili, wanaoumia ni wananchi.
 
How about bukoba jamn
 
Kuna haja ya kuimarisha usalama katika maeneo hayo. Jeshi la polisi liangalie suala hili, wanaoumia ni wananchi.
Asubuhi hii ninapokuandikia hii Post kuna Mtu Mwingine huko huko Mbweni Yeye na Wanafamilia wake wameamka na kukuta Wamekombwa ( Wameibiwa ) kila Kitu na Mlinzi wao nae alilazimishwa Kusinzia na hao Wezi kwa Kupuliziwa Dawa maarufu iitwayo 4-4-2.

Kazi ipo...!!
 
Jamani huko si ndiyo tishi mitaa yao ya jikoni hupikwa? Au ndiyo hujigeuza wao wanafanya mazoezi?
 
Duuhh,, ni hatar hiyo iyo dawa ipoje ?
 
Magufuli alijaribu mbinu za kagame kidogo kwenye ulinzi wa ndani wezi wote wakaokoka, Sirro akaenda kupewa mbinu na IGP wa Rwanda nchi yetu ikatulia sasa wambura na vijana wake wa intelligence na ant roberry wanashindwa nini kuendeleza moto uleule hadi kuacha watu watambe kijinga namna hiyo?
 
Vibaka tunawalea wenyewe.

Wakikamatwa hatutoi ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…