RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

Siyo Kama alimuingilia kwa nguvu regardless of what kind of orifice was used?
 
Uwezekano wa Nawanda kushinda upo mkubwa tu.
 
Uwezekano wa Nawanda kushinda upo mkubwa tu.
Mimi nilishaona kabla kuwa tukio hilo si tu atashinda bali limetengenezwa.
Ninachojiuliza ni kwanini watengeneze hili na why Nawanda akubaliane na mbinu hii?
Bado nasisitiza serikali haina uadilifu wa kiwango hicho cha kushughulikia hili na ushahidi ni Makonda, Sabaya na Gekul.
 
Mimi nasemea tuhumu zilizopo polisi sasa ukweli wote utajulikana mahakamani ambapo upande wa mashitaka utatakiwa kuthibisha pasipo shaka kuwa makosa hayo yalitendeka kweli. Hakuna haja ya kutoleana povu kwa sasa.
 
Sarakasi tu hizo kesi yenyewe ishaisha muda mtu kanunua iPhone nne famchezo. Shahid ashagahil hakuona wala kufanyiwa chochote na huyo mpenziwe mwema.
 
kama mtendewa hatatoa ushirikiano ,hapo hakuna kesi
sababu hata kama kesi inasimamiwa na jamhuri ,mhusika mkuu na shahidi namba moja ni mtendewa
sasa yeye akisema kijambio kiko sawa,hakikuguswa, imeisha hiyo
 
Yupo sahihi ila kwenye kosa la kimwili kama hilo ushahidi wa mtendewa ni muhimu sana ,kama ameonyesha dalili za kutotaka kuendelea kuna kila dalili ataharibu kesi kwa makusudi technically kwenye cross examination
Akiharibu itakula kwake kesi itamgeukia kwa kutoa ushahidi wa Uongo maana ni yeye ndiyo alileta taarifa hakutuma mwakilishi kupeleka taarifa .
 
Akiharibu itakula kwake kesi itamgeukia kwa kutoa ushahidi wa Uongo maana ni yeye ndiyo alileta taarifa hakutuma mwakilishi kupeleka taarifa .
Sheria ya kuharibu kesi haipo hivyo kama unavyofikiria, unapofanyiwa cross examination maelezo yakiwa na utofauti kidogo biashara imeisha na hakuna wa kukushitaki maana kukumbuka ni jambo lingine na kutoa ushahidi wa uongo ni jambo lingine
 
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na bint aliyelawitiwa RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na Kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya jinai kwa Sababu mshtaki ni Jamhuri

Jumaa Mubarak 😀

Let's say shahidi akisema aliingiliwa na mtu mwingine sio huyo RC itakuwaje
 
Nasikia mijitu mingi ya Chama ChaMambusi iko hivi kama bw. Yahya!
Na vijana huko UVCCM wanacharazwa kwelikweli.
Ona tuu tembea zao uta note kuwa something wrong back side kwa wengi wao.
Msiniombe ushahidi maana nitaumwaga humo muishie kunilaumu bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…