RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

The greatest kijambio man ,mshenzi sana nimeona clip zake akijidai mweledi sana anafoka foka kumbe alikua anafoka kucheleweshwa kwenda kula vijambio
Huu ni unafiki tu, huenda hata wewe unakulaga vijambio ila kwa kuwa hujagundulika unajidai ni mtakatifu.
 
Na vijana huko UVCCM wanacharazwa kwelikweli.
Ona tuu tembea zao uta note kuwa something wrong back side kwa wengi wao.
Msiniombe ushahidi maana nitaumwaga humo muishie kunilaumu bure!
Kama wale akina nanii
 
Kama daktari alithibitisha alilawitiwa.
Nadhani kulikua na kosa kwenye utoaji wa hiyo taarifa, daktari hawezi kuthibitisha kuwa mlalamikaji alilawitiwa, bali anaweza kuelezea uwepo wa dalili za kupenya kwa kitu ama kuingiziwa kitu kwenye njia ya haja kubwa pamoja na kuelezea iwapo alikuta michubuko na ama uwepo wa shahawa (zote hizi kisheria zinasaidia tu kuelezea uwezekano wa kulawitiwa, lakini hazithibitishi).
 
Unambaka mtu mzima aliyekuja kugongwa kwa kutoka kilomita 50 chuoni hadi kwenye gari lako na anajua alichokuwa anakuja kufanywa, acheni hizo ,na alishagongwa januari huko na kaja tena miezi sita baadae huo ubakaji upo wapi?
Kalawitiwa na watu wengine siyo lazima rc kwani anatembea na rc tu , toeni hisia kwenye mambo ya kuthibitisha, ndio maana zombe na mama msuya walitoka kiulaini haya mambo hayataki hisia, binti atulie asome aache kufanya biashara ya mwili wake
Binti ni mpumbavu na RC vilevile ni mpumbavu, upumbavu wa binti unakubalije kujidhalilisha kiasi hiki na inavyoonekana hicho kibinti kinajiuza mitandaoni.
 
Huu ni unafiki tu, huenda hata wewe unakulaga vijambio ila kwa kuwa hujagundulika unajidai ni mtakatifu.
Tulia wewe kwahiyo tusiseme? Yaani mtu kafanya ushenzi tunyamaze kisa hatujafumwa? Subiri utifumanie nawe uje useme. Huyo mla USHUZI subir aisome namba
 
akila na yeye anatakiwa aliwe kichwa kwa mujibu wa uislam, ukiristo akila anapandishwa cheo?
 
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na binti aliyelawitiwa, RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta kesi ya jinai kwa sababu mshtaki ni Jamhuri

Jumaa Mubarak 😀
Simple sana huyo binti si ndio ni shahidi wa kwanza wa muhimu. Akifika mahakamani anakana

Anasema aliropoka kwa sababu alikuwa amelewa. Kesi inakuwa 8mekufa kifo cha mende

Alafu pia RPC asiwalishe watu matango pori. Kuna aina ya kesi za jinai watu wanaweza kuzifuta wenyewe z8metajwa kwenye sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai. But hili la ufirauni haliwezi kufutwa kienyeji
 
Tulia wewe kwahiyo tusiseme? Yaani mtu kafanya ushenzi tunyamaze kisa hatujafumwa? Subiri utifumanie nawe uje useme. Huyo mla USHUZI subir aisome namba
Hawezi kuisoma namba, huyo binti msingizia watu hana nia ya kuendelea na kesi.
 
akila na yeye anatakiwa aliwe kichwa kwa mujibu wa uislam, ukiristo akila anapandishwa cheo?
Hii nchi hatufuati mujibu wa uislamu wala ukristo, umeelewa we kichwa maji?

Wamekuahidi ngono na pombe peponi ndio umechanganyikiwa kabisa!
 
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na binti aliyelawitiwa, RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta kesi ya jinai kwa sababu mshtaki ni Jamhuri

Jumaa Mubarak 😀

=====

Mwandishi: Mtuhumiwa alikuwa amehiari kwa hiari yake kuachana na kesi hii

Jeshi la Polisi: Na sisi Jeshi la Polisi tumeona hako kataarifa kanakotembea huko kwenye mitandao ya kijamii.

Pia soma: MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
Serikali ina macho makali mno na mengi mno; mtu hawezi kuichenga Serikali
 
Back
Top Bottom