RPC Mwanza naomba uingilie hili suala ili haki ipatikane

RPC Mwanza naomba uingilie hili suala ili haki ipatikane

Polisi wa leo si wa Jana utasubiri mwisho utalala mlango wazi!!!Ukisubiri labda ujio wa mkuu wa kaya lini sasa???

Polisi wa leo si wa Jana utasubiri mwisho utalala mlango wazi!!!Ukisubiri labda ujio wa mkuu wa kaya lini sasa???
We unajuaje kama mkuu wa kaya haijamfikia? Au unadhani hii ni awamu ya enzi ulizozoea kudhulumu haki watu?
 
Inawezekana vipi tukio kama hili limetokea jirani namna hii na ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilemela na bado watu wanalalamika?
 
Inawezekana vipi tukio kama hili limetokea jirani namna hii na ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilemela na bado watu wanalalamika?
Mkuu tulishajadili humu ndani JPM anaangushwa na wateule wake. Nafikiri hata wewe unalifahamu hili.
 
Acha utoto mkuu, JPM anaingia vipi hapa?
Mkuu wa wilaya si anamuwakilisha JPM wilaya ya ilemela. Na mke wa marehemu amepeleka barua ya malalamiko ofisini kwake. Wewe mwenyewe unafahamu kata ya kahama ni kama km 3 toka ofisini kwake. Sasa hapo nimefanya utoto gani?
 
Kuna vijana walikua wanatusumbua sana mtaani,Jela na polisi hapakuwa faa hata kidogo,

Wakaenda kufunga mtaa maeneo ya kinondoni garden wakapigwa kibiriti wote watatu,Askari walivyo pata habari walihisi wamepunguziwa mzigo flani wa uhalifu,
Kuna watu sheria hiziwasumbui kabisa dawa ni kupita short cut hiyo ndo dawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa wilaya si anamuwakilisha JPM wilaya ya ilemela. Na mke wa marehemu amepeleka barua ya malalamiko ofisini kwake. Wewe mwenyewe unafahamu kata ya kahama ni kama km 3 toka ofisini kwake. Sasa hapo nimefanya utoto gani?
Mkuu wa wilaya kaapishwa kusimamia katiba, anajiwakilisha mwenyewe pia. sio kila kitu lazima kumuhusisha JPM.
 
Back
Top Bottom