Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa chini ya ulinzi.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya.