Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kabisa.Jamaa wana fiksi za kibwege sana, hata mtoto wa miaka 5 atang'amua.
watu wanakufa hata wakiwa usingizini sembuse aliyepigwa risasi ya mguu.Kabisa.
Utasemaje mtu aliyejeruhiwa mguuni kwa risasi amefariki kiwepesi wepesi hivyo,watu wanapigwa chuma za kichwa wanaishi leo mtu mzima anaambia watu wazima eti risasi ya mguu mtu kafa.
Ni mtu Mwendawazimu tu ndiye ambaye anaweza kuzielewa na kuziamini taarifa zitolewazo na Jeshi la Polisi.Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa chini ya ulinzi.
View attachment 3008435
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya.
View attachment 3008438
View attachment 3008428
View attachment 3008429
View attachment 3008431
View attachment 3008432
Mahakama haziaminiki tena,bora wamalizane nje ya Mahakama!!Wamemchoka na wamechoka matukio yake yamekua mengi sana kiasi cha kuwachafua. Lazima wakuwaishe
Kwa hiyo Jeshi la Polisi ndio linaaminika????Mahakama haziaminiki tena,bora wamalizane nje ya Mahakama!!
As well as Politicscrime does not pay..
Nani kathibitisha kuwa huyo aliyeuawa kweli ni mwizi???Safi sana, next time hakuna kupiga mguu ni shaba ya kichwa tu yanini kusumbuwa madaktari kumtibu? Wezi wanatia hasara mon. Kama hujawahi kuibiwa ndio utaleta habari za kumpeleka mahakamani.