Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huyu mama RPC Theopista Mallya unashangaa alifikaje kuwa askari afisa mwandamizi polisi. Kama kuna kulalamikiwa sana jeshi la polisi ni aina ya askari auofisa kama huyu.
Si tu ameliaibisha Jeshi la Polisi lakini yaliyojitokeza ni kwamba kuna vitu tumeviona
- Anapindisha ukweli wa kesi
- Anaharibu hata upelelezi ili conclusion iwe ile anayoitaka
- Anatetea uhalifu, afande aliyetuma wabakaji hajampata wakati yupo chini ya himaya yake
- Anabariki mwanamke mwenziwe kufanyiwa uhalifu wa ubakwaji na kulawitiwa
- hana huruma ya kimama, aliyefanyiwa unyama mwanamke mwenziwe
Maajabu ni kwamba kafikaje cheo kikubwa kama URPC?
Ukimchanganya huyu mama na yule Kamishna wa mafunzo Awadhi, unalipata jeshi gani la polisi?
IGP Wambura huna watu!