RPC Theopista Mallya ni kielelezo cha askari Polisi wanaolalamikiwa sana nchini

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
images.jpeg

Huyu mama RPC Theopista Mallya unashangaa alifikaje kuwa askari afisa mwandamizi polisi. Kama kuna kulalamikiwa sana jeshi la polisi ni aina ya askari auofisa kama huyu.

Si tu ameliaibisha Jeshi la Polisi lakini yaliyojitokeza ni kwamba kuna vitu tumeviona
  • Anapindisha ukweli wa kesi
  • Anaharibu hata upelelezi ili conclusion iwe ile anayoitaka
  • Anatetea uhalifu, afande aliyetuma wabakaji hajampata wakati yupo chini ya himaya yake
  • Anabariki mwanamke mwenziwe kufanyiwa uhalifu wa ubakwaji na kulawitiwa
  • hana huruma ya kimama, aliyefanyiwa unyama mwanamke mwenziwe
Tabia hii haikuanza akiwa RPC Dodoma, ni dhahiri kuwa amelelewa katika tabia hiyo.
Maajabu ni kwamba kafikaje cheo kikubwa kama URPC?

Ukimchanganya huyu mama na yule Kamishna wa mafunzo Awadhi, unalipata jeshi gani la polisi?

IGP Wambura huna watu!
 
  • Anabariki mwanamke mwenziwe kufanyiwa uhalifu
  • Aana huruma ya kimama, aliyefanyiwa unyama mwanamke mwenziwe
Tabia hii haikuanza akiwa RPC Dodoma, ni dhahiri kuwa amelelewa katika tabia hiyo. Maajabu ni kwamba kafikaje cheo kikubwa kama URPC?

Ukimchanganya huyu mama na yule Kamishna wa mafunzo Awadhi, unalipata jeshi gani la polisi?

IGP Wambura huna watu!
Kauli yangu juu ya Theopistà Mallya itabaki ileile ya siku zote, mlikuwa "HAMUMJUI".
 
Mkuu usishangae kafikaje hapo hizo ndio sifa za kufika huko alikokuwa kwa sababu ndio mfumo ulivyo, huwezi kukuta muadilifu anafika hapo alipokuwa, unakumbuka kauli ya kipigo cha mbwa mwizi?
 
Ni aibu askari waliokosa maadili kupewa nyadhifa wasizostahili.
 
View attachment 3074643
Huyu mama RPC Theopista Mallya unashangaa alifikaje kuwa askari afisa mwandamizi polisi. Kama kuna kulalamikiwa sana jeshi la polisi ni aina ya askari auofisa kama huyu.

Si tu ameliaibisha Jeshi la Polisi lakini yaliyojitokeza ni kwamba kuna vitu tumeviona
  • Anapindisha ukweli wa kesi
  • Anaharibu hata upelelezi ili conclusion iwe ile anayoitaka
  • Anatetea uhalifu, afande aliyetuma wabakaji hajampata wakati yupo chini ya himaya yake
  • Anabariki mwanamke mwenziwe kufanyiwa uhalifu wa ubakwaji na kulawitiwa
  • hana huruma ya kimama, aliyefanyiwa unyama mwanamke mwenziwe
Tabia hii haikuanza akiwa RPC Dodoma, ni dhahiri kuwa amelelewa katika tabia hiyo.
Maajabu ni kwamba kafikaje cheo kikubwa kama URPC?

Ukimchanganya huyu mama na yule Kamishna wa mafunzo Awadhi, unalipata jeshi gani la polisi?

IGP Wambura huna watu!
atakuwa na genge la mihuni ktk share za jeshi la polisi?
 
Itakua Awadhi ,na Mama Mallya wali kua depo moja ndo walifundshwa hivyo
 
Huyo kaonesha uhalisia wa askari wengi nchini, karibia 95% ya askari woote nchini ni wana tabia za kiwaki.. Ona ujinga aliofanya,lakini sijui kama atawajibishwa ipasavyo.
 
Ni mmoja wa askari wachache wanaofanya raia waichukie polisi,inaonyesha wengi wasiokua na watu wa kuwapigia kelele kishawabambikia kesi na wengine wapo magerezani wakitumikia adhabu za kubambikiwa,yule victim wa ubakaji isingekua raia kupiga kelele angeshakua kishabambikiwa kesi ya umalaya na nyingine zaidi ili apotee kabisa,labda kwa ajili tu alijua mchepuko wa mume wa rafiki yake,na hii inaonyesha hawa wakubwa kuna mengi mabaya wanayafanya ila victims wanaogopa kudai haki zao sababu hawataipata
 
Nadhani wanapaswa kuwajibishwa na raia wema, sio wenzao; Simba hawezi kumla hata fisi, sembuse simba mwenzie?

Ajabu ni kwamba mwizi wa TV(masikini) anachomwa moto na raia wema(masikini wenzie)

Akina Madelu, Janu, Abdul, Abdulhaman, Napia, Ridhaawanyi, Mrisho, Ziiito, n.k wanashangiliwa na raia wema...
 
Ni mmoja wa askari wachache wanaofanya raia waichukie polisi,inaonyesha wengi wasiokua na watu wa kuwapigia kelele kishawabambikia kesi na wengine wapo magerezani wakitumikia adhabu za kubambikiwa,yule victim wa ubakaji isingekua raia kupiga kelele angeshakua kishabambikiwa kesi ya umalaya na nyingine zaidi ili apotee kabisa,labda kwa ajili tu alijua mchepuko wa mume wa rafiki yake,na hii inaonyesha hawa wakubwa kuna mengi mabaya wanayafanya ila victims wanaogopa kudai haki zao sababu hawataipata
Kwa kweli inasikitisha!
 
Hatari sana.Tufumbe macho tuwaombee dua njema ya kuona aibu machoni pa BWANA MUNGU.🙏😎
 
Back
Top Bottom