Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu anayempinga Murotto siyo jf , ni familia ya marehemu , mtu aliyekufa kwa shinikizo la damu anakuwaje na majeraha manne makubwa kwenye mwili wake ? Hawa polisi ndio waliosema Mwangosi alitupiwa kitu chenye ncha kali na wafuasi wa chadema , uliamini hilo ?JF wanaendekeza habari za uzushi kwa kisingizio cha “user generated content”, cha kushangaza yoyote atakayeleta habari ya uzushi hatapewa adhabu kali, kwa mwendo huu JF inaenda kuwa kijiwe cha uzushi na propaganda na sio mahali salama pa kuhabarika.
Hapo penye kuwemo ofisi ya CAG hapo ndio penye utataMbali na hilo pia alikuwa Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pia amewahi kuwa mlinzi wa Rais katika utawala wa awamu ya kwanza wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.[/URL]
Eeh, kwa wasifu huo ,...basi sawa .Hapo penye kuwemo ofisi ya CAG hapo ndio penye utata
Unajua tofauti kati ya kuona na kusikia?
Shule za kata bwana ! Ku-fail ( kufeli) ni ktk kufanya mitihani tu!MOYO ULIFELI KWANI ALIFANYA MTIHANI WA DARASA LA NGAPI? ALISHINDWA HATA KUPATA FEKI AKAIBIA? MITIHANI KWELI YAWEZA KUWA KITU MBAYA KABISA, SIJUI WATALITUHUMU BARAZA LA MAPEPA KWA KIFO CHAKE?
Hapo penye kuwemo ofisi ya CAG hapo ndio penye utata
No Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo, tatizo ni wasomaji wangu siku nikiponda ndio naelezwa kurudi kwenye ubora, siku nikisifu, natafuta u DC!.pascal umeanza kurejea kwenye ubora wako
Naunga mkono hojaView attachment 1306095
Natoa wito kwa IGP Sirro kuchukua maamuzi magumu ili kulinda heshima ya jeshi la polisi .
Kifo hiki kina walakini , vinginevyo familia ya marehemu itatokomezwa ili kuficha ushahidi .
Lakini kinachonishangaza ni hiki:Hapa ndio Muroto anapo angukia pua. Kijana wa marehemu amekataa version ya Muroto na kusisitiza kuwa mwili wa Mzee wake ulikutwa hauna nguo na una dalili ya majeraha. Lbda kama nae amezushiwa kusema hivyo, vinginevyo taarifa ya polisi ina walakini na JF ina msingi wa kuleta taarifa iliyoletwa.
Nafikiri jeshi letu la polisi kwenye uwazi na ukweli (in Mkapa's voice) wana matatizo makubwa hadi wanafungua kesi ambazo hazipo, wanatoa reporti ambazo si sawa.
Hili linaweza kuwa jambo! Natamani isiwe hivyo.Hapo penye kuwemo ofisi ya CAG hapo ndio penye utata
Kinachowashinda watanzania wengi ni "kusoma na kuelewa"No Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo, tatizo ni wasomaji wangu siku nikiponda ndio naelezwa kurudi kwenye ubora, siku nikisifu, natafuta u DC!.
Tuwe wakweli, mazuri tusifu, mabaya tukosoe.
P
Eeeeh si mchezo aisee.1. Aliwahi fanyakazi ofisi ya CAG
2. Anahusika kayika taasis ya Dalai Islamic center ambayo hata CAG mstaafu yupo
3. Kabla ya kifo alikuwa safaarini kuhudhuria kwenye kikao cha tasisi yao ambacho CAG mstaafu alikuwepo ambae nae ilisemekana alitekwa baada ya kutoka kwenye kikao hicho
Sent using Jamii Forums mobile app