The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Inna lillahi waina ilaihi rajiun.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hala hala wasahili wana memo huoNo Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo, tatizo ni wasomaji wangu siku nikiponda ndio naelezwa kurudi kwenye ubora, siku nikisifu, natafuta u DC!.
Tuwe wakweli, mazuri tusifu, mabaya tukosoe.
P
Kazi hiyo popote pale duniani inafanywa na Watalaam wa afya. Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa ''Forensic examination inayofanywa kwa utaalam wa Pathology''Polisi Tanzania wanao utaalam wa kujua kilichosababisha kifo na kukitangaza?
Inawezeakana ilifanyika, katika mass communication hilo lilitakiwa liwe waziAu maiti ilishafanyiwa uchunguzi na wataalam husika, na huko ndiko alikotoa taarifa hiyo?
Taarifa anaitoa kwa kushirikiana na Dr na Wanafamilia. Hawa ni mashahidi wa post mortem.Je, yeye ndie mwenye mamlaka ya kutoa taarifa hiyo?
Kisheria wanapaswa kushirikishwa katika uchunguzi. Sijui kama hilo lilifanyika, na kama lilifanyika mkanganyiko unatoka wapi? Na kwanini Kamanda hakueleza?Ndugu wa marehemu hawakushirikishwa katika uchunguzi uliofanyika?
Kwa maana wangeshirikishwa pasingekuwepo na sintofahamu kutoka kwao.
Ndiyo maana nasema kisheria Kamanda ameliweka jeshi pagumu sana.Mimi nadhani kuna umhimu mkubwa kwa Tanzania kurudi kwenye taratibu zinazotambulika katika kufanya mambo kama haya.
Polisi hawezi kujisemea tu chochote anachoona inafaa kisemwe.
Sijasema ni for sure, nimesema nahisi tuu, kwasababu marehemu alikuja Dar kwenye mkutano, haulitajwa ni mkutano gani wa nini na ulifanyika wapi ila miongoni mwa shughuli zake ni kuongoza Taasisi ya dini ya kuwapeleka watu kuhiji Mecca.Pascal Mayalla,
Kama usemayo Pascal ni kweli kwamba Assad na Rashid walikuwa kwenye mkutano mmoja basi kuna tatizo pahala na Zitto akamatwe na kuhojiwa.
Tarehe 25/12/2019 Assad kapotea na mwili wa shehe kupatikana? Isijekuwa ni siasa za maruhani hizi!
Jeshi la Polisi linadhalilishwa kijinga sana !Pascal Mayalla,
Kama usemayo Pascal ni kweli kwamba Assad na Rashid walikuwa kwenye mkutano mmoja basi kuna tatizo pahala na Zitto akamatwe na kuhojiwa.
Tarehe 25/12/2019 Assad kapotea na mwili wa shehe kupatikana? Isijekuwa ni siasa za maruhani hizi!
Mkuu Pascal Mayalla naona umeanza kurejea kwenye ubora wako!
Nakusoma Pascal, unadhani Mystery amekosea kuliweka hivyo? Sisi ni binadamu kuna wakati huteleza. Tatizo la juzi sio kusifu bali ulimpa sifa asiyestahili bahati mbaya kama ujuavyo naye ana wapinzani wakutosha. Ndio maana wengine tunasema mahaba [yakizidi] hupofusha. Umesema "Tuwe wakweli, mazuri tusifu, mabaya tukosoe", nakubaliana nawe lakini kwenye ule uzi mazuri yale hayakuwa ya yule uliempa pongezi kana kwamba yeye ndiye aliye yaleta (causal attribution).No Pasco ni yule yule, juzi, jana na leo, tatizo ni wasomaji wangu siku nikiponda ndio naelezwa kurudi kwenye ubora, siku nikisifu, natafuta u DC!.
Tuwe wakweli, mazuri tusifu, mabaya tukosoe.
P
Muumba ataachiwa vingapi ?
Omari Mahita ni mfano hai wa polisi kujitizama kama kiooWanasheria jitokezeni mkafungue kesi ya mkimtuhumu mtajwa huyo kuhusika ! ili akathibitishe maneno yake
Una akili nyingi na uelewa mpanaMkuu anayempinga Murotto siyo jf , ni familia ya marehemu , mtu aliyekufa kwa shinikizo la damu anakuwaje na majeraha manne makubwa kwenye mwili wake ? Hawa polisi ndio waliosema Mwangosi alitupiwa kitu chenye ncha kali na wafuasi wa chadema , uliamini hilo ?
Halafu lingine ni hili , JF haitofanya kazi zake kwa kufuata maelekezo ya Murotto au mtu mwingine yeyote ukiwemo wewe ( hili ni onyo )
Thubutu!!Mkuu Pascal Mayalla naona umeanza kurejea kwenye ubora wako!