tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Kumbe kamanda anatoa taarifa za kiuchunguzi sio taarifa za daktari aliyefanya postmortem? Hapa sasa nimeelewa. Taarifa hii ina ukakasi kwa sababu zifuatazo:
- Simu zake zote zilizimwa na nani?
- Kwanini Muroto asingesubiri taarifa ya Daktari badala ya kuropoka?
- Hilo la heart failure aliota au alioteshwa? Alifanya uchunguzi gani kujua kuwa ni heart failure na sio kitu kingine?
- Kulikuwa na haja gani ya kutoa tiketi aliyosafiria na kutaja namba ya gari na jina la kampuni inayomiliki gari hilo wakati havina uhusiano na kifo na hakufia ndani ya gari?
- Body language ya kamanda Muroto inaonesha wazi kuwa kuna jambo ovu anajaribu kuficha. Kwanini anaongea kwa kutojiamini?