Tetesi: RPC wa Mara adaiwa kuandaa Maandamano ya kumpongeza

Kwani Kuna KATIBA mpya imeandikwa au Sheria imetungwa inayoruhusu RPC kuelekeza vijana wake kuhukumu mtu KIFO bila Kumfikiaha Mahakamani akiwa amefungwa pingu akiwa mikononi mwa POLISI???

Mbona hili Ombwe la Uongozi linazidi kukua?!!!!!!!
 
Huyu RPC ni mpumbavu wa kiwango cha lami wamewaua wengi tena hapo hapo Police Central na Polisi wauaji wakapona kwa namna wanavyojua wenyewe ila hilo la Serengeti hata angefanyaje yale ya Zombe yanakuja watanzania endeleeni kupaza sauti hadi kieleweke, rubbish
 
Maderva wa bodaboda wa Mara themanini walimsindikiza Madelu Mwigulu alipoenda kutetea tozo Sirari
Hawa ni mamluki tuu hawana itikadi wala muamana wao ni pesa tuu
 
Huyu ni MUUAJI, aandikwe kwenye vitabu vya ICC
 
Ameua! ametesa! amemdhalilisha binti wa watu eti alale na baba yake!
Hii dhambi na laana hii itatembea ktk vizazi vyao milele na milele Amen!
 
https://www.facebook.com/
[emoji115][emoji115][emoji115]Nyingne hyo
 
Hakuna Bodaboda ataandamana bila kupewa mafuta ya bure. Hao Bodaboda wamepewa Lita 3 Kila mmoja Kwa gharama ya RTO Mara. Katika Hali yoyote haiwezekani Bodaboda wa Musoma kuandamana kupongeza Polisi kuua wanaowaita Majambazi wa wilaya ya Serengeti.
 
Kwa kuwa CCM na Polisi ni ndg haina shida. Ila kuna siku tutazipiga LIVE
 
Hakuna Bodaboda ataandamana bila kupewa mafuta ya bure. Hao Bodaboda wamepewa Lita 3 Kila mmoja Kwa gharama ya RTO Mara. Katika Hali yoyote haiwezekani Bodaboda wa Musoma kuandamana kupongeza Polisi kuua wanaowaita Majambazi wa wilaya ya Serengeti.
'Katika hali yoyote haiwezekani' wakati imeshawezekana tena kwa buku tisa tu ya lita 3 kama unavosema. Ndo mana nasema ingeshavuja kabla ya huo mpango, watu wa kule ni upinzani sana na wana msimamo wasingekubali.
 
Unabisha nini wewe ?
 
Catherine unahangaika sana, Kazi ya kufuga majambazi haikufai, achana nayo
 
Magufuli alilifundisha hili taifa tabia mbaya Sana ya unafiki.
Mzimu wa Pombe unawatesa sana nyie walamba asali.
Mauaji haya yangefanyika enzi za huyo Magufuli ninyi walamba asali mngemchafua kuliko maelezo, Sasa yupo mnafiki mwenzenu mnatupia lawama kaburi na harakati zenu mnahamishua kwingine
 
Enzi za Magufuli mlisema yeye ndie muuaji, Sasa hivi mnalamba asali mnamtafutia kichaka Cha kujifichia mama yenu anaewalambisha asali...
Matatizo nchi hii yapo mjifunze kuacha kutukana watu na kusingizia.
Majambazi wakiua sheria zetu duni wanarejea uraiani kirahisi na kuendelea na kazi Ila Sasa Jambo limebadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…