NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Tangu jpm Hadi Samia NCHI inapitia mageuzi na BADO haijatulia!!!Enzi za Magufuli mlisema yeye ndie muuaji, Sasa hivi mnalamba asali mnamtafutia kichaka Cha kujifichia mama yenu anaewalambisha asali...
Matatizo nchi hii yapo mjifunze kuacha kutukana watu na kusingizia.
Majambazi wakiua sheria zetu duni wanarejea uraiani kirahisi na kuendelea na kazi Ila Sasa Jambo limebadilika.
Hadi Angalau katiba IPATIKANE Ndio utulivu utakuwepo!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba MPYA"