Tetesi: RS Barkane wanaitaka huduma ya Mayele upesi

Tetesi: RS Barkane wanaitaka huduma ya Mayele upesi

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
442
Reaction score
729
FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b) kama atakubaliana kuvunja mkataba wake na Yanga ili atue haraka nchini Morocco.

Chanzo: RFA
 
Jambo lingine la kushangaza mara zote wachezaji wa Yanga pekee ndiyo wanaohusishwa na hizo taarifa.
Na hii ni nini? Punguzeni kulialia
shaffihdauda_-20221228-0001.jpg
 
FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b) kama atakubaliana kuvunja mkataba wake na Yanga ili atue haraka nchini Morocco.

Chanzo: RFA
Pesa haishindwi. Pesa tamu sana hii ni suala la muda tu
 
Mpira ni kazi kama kazi zingine. Hakuna mchezaji anayecheza kwasababu anaipenda Club hiyo bali ni pesa tu
Ndiyo maana tunawafundisha hao Azam namna bora kabisa ya kumchukua mchezaji mzuri, kutoka kwenye timu yake anayochezea.
 
Mpira ni kazi kama kazi zingine. Hakuna mchezaji anayecheza kwasababu anaipenda Club hiyo bali ni pesa tu
Sawa pesa ila fuata utaratibu, angalia wenzetu ulaya timu zinazomtaka Enzo Benifica.Zote zimepeleka barua Benifica, then now wapo kwenye stage za negotiations,hivyo ndivyo timu hufanya na si uhuni wa kumfuata mchezaji na kumshawishi wakati anamkataba.
 
Back
Top Bottom