tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Yule Micky Jr naye ni muongo sanaKile kizee cha mbege,kilikuwa kinapata tetesi kwa yule mghana hakina lolote
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Micky Jr naye ni muongo sanaKile kizee cha mbege,kilikuwa kinapata tetesi kwa yule mghana hakina lolote
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa hamtaki wachezaji wenu watakiwe na timu nyingine?![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jambo lingine la kushangaza mara zote wachezaji wa Yanga pekee ndiyo wanaohusishwa na hizo taarifa.
ndo cluub yenye kikosi bora kwa sasa,wchezaji wenye umri wa ushindaniJambo lingine la kushangaza mara zote wachezaji wa Yanga pekee ndiyo wanaohusishwa na hizo taarifa.
wote tu hata nuhu adams muongo, afrika hkn mwandishi wa kuandika km fabrio,wote taka taka tuYule Micky Jr naye ni muongo sana
Ulitaka wasiondoke?Mti wenye matunda lazima uliwe. Mayele muda si mrefu lazima aondoke. Feisal naye lazima aondoke.
Msalimie sana mama J
I abhor the phrase: "selling price". It's evil to sell or buy human beings. Andre Mtine please take note.Na hii ni nini? Punguzeni kulialiaView attachment 2461171
Tatizo taarifa zenu nyingi ni za uzushi. Wala sina shida mchezaji wa timu yangu kutakiwa na timu nyingine.Sasa hamtaki wachezaji wenu watakiwe na timu nyingine?![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Matunda yakiiva huliwa. Mpira ni biasharaUlitaka wasiondoke?
Ama kweli kila mtu na mtazamo wake.Wakati wewe ulimuona anareport tetesi za uhakika,wengine tulimuona Priva mwenye kujipendekeza na alifikia hatua bila aibu analamba viatu vya kina Hersi kumbe alikuwa anatafuta ajiraMtu pekee aliyekua analeta tetesi walau za kueleweka ni priva na toka ameondoka imekua ni kubahatisha tu.
Mbona alikua anaripoti tetesi za timu zote?Ama kweli kila mtu na mtazamo wake.Wakati wewe ulimuona anareport tetesi za uhakika,wengine tulimuona Priva mwenye kujipendekeza na alifikia hatua bila aibu analamba viatu vya kina Hersi kumbe alikuwa anatafuta ajira