Tetesi: RS Barkane wanaitaka huduma ya Mayele upesi

Mtu pekee aliyekua analeta tetesi walau za kueleweka ni priva na toka ameondoka imekua ni kubahatisha tu.
Ama kweli kila mtu na mtazamo wake.Wakati wewe ulimuona anareport tetesi za uhakika,wengine tulimuona Priva mwenye kujipendekeza na alifikia hatua bila aibu analamba viatu vya kina Hersi kumbe alikuwa anatafuta ajira
 
Mbona alikua anaripoti tetesi za timu zote?
Aliwalamba miguu kwenye tukio lipi?
 
Back
Top Bottom