Ni kuteseka tyuuh yaan khaaah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hasira za chelsea nimewamalizia Arsenal
Za simba sasa nimpe nani [emoji38]
Sehemu nyingine uwe unaangalia opponent unaye m-faceHapa kwa Pablo tukubali kuwa tumepigwa!! Yaani anaanzaje kumuacha nje morrisson, kagere na mhilu halafu anawaanzisha kina nyoni na boko...hivi kulikuwa na haja gani ya kuchezesha mabeki watano kwenye mechi ya leo..??
Tungekuwa tunacheza na Al ahly pale Cairo si angechezesha hata mabeki 8 ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja!?
Mkuu, leo Pablo ameanza na WALINZI NANE.Hapa kwa Pablo tukubali kuwa tumepigwa!! Yaani anaanzaje kumuacha nje morrisson, kagere na mhilu halafu anawaanzisha kina nyoni na boko...hivi kulikuwa na haja gani ya kuchezesha mabeki watano kwenye mechi ya leo..??
Tungekuwa tunacheza na Al ahly pale Cairo si angechezesha hata mabeki 8 ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja!?
Kiukweli sijaona possibility ya simba kuweza kufunga goli kwenye game ya leoUjinga wa simba si kufungwa. Ni kutofunga wakati hiyo timu ilikuwa inacheza kawaida tu. Sio timu ya kupaki basi ile. Wangejiamini wakawashambulia.
So unashauri dhidi ya al ahly aende na 8-1-1 ugenini alafu kwa mkapa aende na 1-1-8Hapa kwa Pablo tukubali kuwa tumepigwa!! Yaani anaanzaje kumuacha nje morrisson, kagere na mhilu halafu anawaanzisha kina nyoni na boko...hivi kulikuwa na haja gani ya kuchezesha mabeki watano kwenye mechi ya leo..??
Tungekuwa tunacheza na Al ahly pale Cairo si angechezesha hata mabeki 8 ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja!?
Nimejuta sana kupoteza dakika 90 kuangalia huu upuuzi...kumbuka alifanya hivi mechi dhidi ya red arrows kule zambia na wale jamaa walikaribia kufanya comeback.Mkuu, leo Pablo ameanza na WALINZI NANE.
Ninaposema walinzi namaanisha defending or defending minded players wa idadi hiyo.
1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Inonga
5. Kennedy
6. Onyango
7. Erasto Nyoni
8. Kanoute
This is too much. Kucheza kwa kujilinda haimaanishi uwe na walinzi wengi. Ni namna timu nzima inavyocheza. Kuna siku atakuja kucheza na mabeki kumi huyu jamaa.
Wachezaji wasio walinzi walikua watatu tu,
9 Bocco
10 Sakho
11 Banda
Nilivyoona tu hicho kikosi nikapata wasiwasi, kwamba ina maana tunaamini katika idadi ?
Sasa hapo huoni kama kuna walinzi wanaokupa double profit itakayoku offer matokeo zaidi ya mawili?Mkuu, leo Pablo ameanza na WALINZI NANE.
Ninaposema walinzi namaanisha defending or defending minded players wa idadi hiyo.
1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Inonga
5. Kennedy
6. Onyango
7. Erasto Nyoni
8. Kanoute
This is too much. Kucheza kwa kujilinda haimaanishi uwe na walinzi wengi. Ni namna timu nzima inavyocheza. Kuna siku atakuja kucheza na mabeki kumi huyu jamaa.
Wachezaji wasio walinzi walikua watatu tu,
9 Bocco
10 Sakho
11 Banda
Nilivyoona tu hicho kikosi nikapata wasiwasi, kwamba ina maana tunaamini katika idadi ?
Matokeo mawili hatukatai...si unaona final result ni 2-0Sasa hapo huoni kama kuna walinzi wanaokupa double profit itakayoku offer matokeo zaidi ya mawili?
Nikweli lakini tunarudi pale paleNjia nzuri ya kujilinda ni kumiliki mpira....hii ndio falsafa ya makocha wanaojielewa kama kina guardiola. Anaweza kuchezesha timu ina viungo 7 tu na bado anashinda goli 4 au 5...bila ya kutetereka. Muda wote ana demand wachezaji wake wawe na mpira .Ila sisi huku tunawaachia wapinzani wamiliki mpira
Ni kweli mkuu, first half tuliwapa UHURU ULIOPITILIZA wa kuja golini kwetu.Nimejuta sana kupoteza dakika 90 kuangalia huu upuuzi...kumbuka alifanya hivi mechi dhidi ya red arrows kule zambia na wale jamaa walikaribia kufanya comeback.
Sijui hajui kuwa strength ya simba ipo kwenye kumiliki mpira? Ona kipindi cha pili tulipoanza kufunguka uliona berkane wote wakirudi nyuma na kutuachia nafasi ya kutengeneza mashambulizi...too bad tulikuwa pungufu maana john bocco simuhesabu kama alikuwa mchezaji wetu.
Peter Banda hakustahili kutolewa badala yake alitakiwa ampunguze nyoni ama kennedy Juma ili aongeze nguvu katika mashambulizi..ila ndo hivyo kocha hajielewi.
Na hayo matokeo ni uwezo binafsi wa wapinzaniMatokeo mawili hatukatai...si unaona final result ni 2-0
Japo kucheza nyumbani kuna kuwa na faida kwa mwenyeji ila sio kwa kukuoa guranteeTunategemea kwa mkapa utadhani tumeandikiwa insurance ...wale USGN sio wa kueabeza ni timu nzuri chochote kinaweza kutokea hapa kwa mkapa
Not necessarily kumiliki mpira mkuu, pick some moments kamshambulie mpinzani ili nayeye ajue kwamba yuko hatarini kufungwa hivyo aje kwako kwa heshima.Nikweli lakini tunarudi pale pale
Ebu jaribu kuwaza ushauri huu ndio anlipewa ruvu siku ambayo anakabiliana na mnyama kwa mkapa
Kwa maoni yako hiyo nafasi ya kumiliki mpira kwa muda mrefu ingewezekana?
Kupaki basi dakika za mwanzo ni wrong moveNi kweli mkuu, first half tuliwapa UHURU ULIOPITILIZA wa kuja golini kwetu.
Mimi sijaumizwa na matokeo, ila namna tulivyocheza hasa first half ndio shida naiona.
Anyways naamini mechi zetu mbili za nyumbani tutashinda na kufikisha pointi 10, lakini hii approach ya leo watu wa ufundi wanatakiwa waitazame upya.
Haka kaujinga ka kutaka kupaki basi ndio kalikowaponza Kaizer Chiefs ile mechi yao dhidi yetu kwa Mkapa, bahati mbaya tu kuna magoli tulikosa ila nne zilikua zinarudi.
Huwezi kupaki basi kuanzia dakika ya kwanza utegemee utafanya hivyo kwa dakika zote tisini, ni kazi mno.
Muonyeshe mpinzani kwamba nawewe ni threat kwake ili aje kukushambulia kwa tahadhari.
Unataka kusema kulinda ni kuwa na idadi kubwa ya walinzi ?Sasa hapo huoni kama kuna walinzi wanaokupa double profit itakayoku offer matokeo zaidi ya mawili?