Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msione mapumgufu ya simba, oneni pia na uwezo wa hawa jamaaHamna Gundu Ni Uwezo Tu Cheza Mpira Weka Mipango Pia Wachezaji Waachaze Kubweteka Wajitume Kwa Morali.
Simba ni mbovu ila mnajipa moyo baada ya kushinda goli 7 kwA ruvu ngoja leo wapige panapo uma mje mjirekebisheMsione mapumgufu ya simba, oneni pia na uwezo wa hawa jamaa
Uwezo wa hawa jamaa ni mkubwa, kwa maana kwamba hata simba akicheza katika maximum ability ni ngumu kutusua
Magoli aliyofungwa sio ya kuwalaumu (labda lapili) kwasababu simba waliweza kuzuia vizuri mashambulizi ila ishu hii ya mipira iliyokufa ndio imewapa advantage berkane
mbona basi kapapaswa na shekhe bila mafuta marambili?Halafu mtu anakuja anasema henonga hana kiwango
Kwangu mie Berkane ni wa kawaida sana. Tatizo kwa Simba ni majeruhi..Msione mapumgufu ya simba, oneni pia na uwezo wa hawa jamaa
Uwezo wa hawa jamaa ni mkubwa, kwa maana kwamba hata simba akicheza katika maximum ability ni ngumu kutusua
Magoli aliyofungwa sio ya kuwalaumu (labda lapili) kwasababu simba waliweza kuzuia vizuri mashambulizi ila ishu hii ya mipira iliyokufa ndio imewapa advantage berkane
Timu gani ya ligi kuu ikacheza na berkane hii halafu ikaonekana sio mbovu?Simba ni mbovu ila mnajipa moyo baada ya kushinda goli 7 kwA ruvu ngoja leo wapige panapo uma mje mjirekebishe
Sawa sawa kaka hata mimi naona.Tunashinda 2-1
hapo kwenye list yako, umemtaja mugalu kwa bahati mbaya ipitie upya post yako kisha ui haririKwangu mie Berkane ni wa kawaida sana. Tatizo kwa Simba ni majeruhi..
Huna Mkude, Mugalu, Bwalya, Lwanga, Dilunga nk. Hawa wote ni key players