Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nusu mtu nusu chuma leo sio beki?Hawa Jamaa Wana Tu Prove Kuwa Hatuna Beki
kumtukana manula ni kulitukana taifaManula ni kipa wa hovyo
Wacha watwanganee aiseee[emoji23]Haya vitasa viendeleee
Mzee naona imeamia huku baada ya ushindi kule kwetu40'
Rs Berkane 2 - 0 Simba SC
Usipoteze nguvu zako kumwelewesha shabiki wa timu ya wasiojua.Timu gani ya ligi kuu ikacheza na berkane hii halafu ikaonekana sio mbovu?
nyinyi mshawahi kung'untwa goli 6 na hawa hawa
Nimeiona kwenye kageraMkuu Yanga Ya Sasa Wewe Mwenyewe Umeiona Kabisa Si Ya Kitoto Wala Mchezo.
Pia Spirit Ndio Kila Kitu, Wachezaji Wako Kama Wamelala Na Kuridhika.