Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #421
Nyoni anateseka leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani Yanga hebu oneni aibu.. Tambueni tukifungwa goli nyingi ni aibu kwa taifa zima. Simba gufu moya
Na Nyoni Pia Nasijui Kwanini Anapangwa.Bocco Akibaki Msimuu Ujao Basi Naacha Kushabikia Simba
Hali si nzuri mpaka sasaUsijari mechi bado haijaisha
Msimamo wangu bado ni ule ule Hatufungwi hii
Kuna mtu atakula umemeMabeki wote leo watatoka na kadi ya njano
Wanaharibu soka la africaGSM wanahusikaje hapo
Mazee si tulikubaliana huyu ni air Manula ??Manula ni kipa wa hovyo
Bahasha za GSM hizoZimbwe leo yuko hovyo
Wanaharibu soka la africa
Atawaua makolo tuManula atakuja kutuua sisi Watanzania wa Ukraine