NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Nikiwa kama shabiki wa Simba nimejaribu kuangalia mechi tano za Rs Berkane nimegundua jamaa wapo vizuri kwenye idara zote na huwa wanacheza kimkakati zaidi.
Rs Berkane wanaizidi Simba katika idara zote na mipango mikakati kuelekea kwenye mechi ya kwanza ya fainali, kikosi chao ni bora karibu mara hamsini ya kikosi cha Simba.
Mechi itaisha kwa Rs Berkane kushinda kuanzia goli tatu.....Let's meet on Saturday after the match!!