Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Karibu sana Atu nimesoma nae Mbalizi Sec na hapo kwenu Forest au Mafiati palikua na mtu wa kuitwa D Masoke msumbufu balaa waliwahi pigana na Mwakayugu nje ya Lift Valley hotel wakitafuta ukulu wa maeneo mpaka ilifikia vijana wa Mafiati walipigwa stop kuja kuzika makaburi ya Isanga mpaka wazee walipokaa disco ninyi wasizwa wa Forest ndio mlikua mnatusumbua sana Livingstone pale maana kiingilio mlikua mnakua nacho na hela za soda na mnakuja na pisi maana uhakika wa usafiri upo...nipo Jozi ila Naishi Arusha karibu sana Legend mwenzangu tupo pamoja nina history na Mbeya maana club tulikua tunasota kwa mguu DJ Ayeya dereva wa Mby day..Kweli ww mtoto wa Isanga mimi mtoto wa forest nipo Dar sshv daah poa sana mkuu nimefurahi. Mpaka Atu Mwaijande unampata kweli mbeya moja.