NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
shabiki wa simba mwenye fikra kama zako unatakiwa uhamie lipuli fc ya iringa au mecco fc ya mbeya.Nikiwa kama shabiki wa Simba nimejaribu kuangalia mechi tano za Rs Berkane nimegundua jamaa wapo vizuri kwenye idara zote na huwa wanacheza kimkakati zaidi.
Rs Berkane wanaizidi Simba katika idara zote na mipango mikakati kuelekea kwenye mechi ya kwanza ya fainali,kikosi chao ni bora karibu mara hamsini ya kikosi cha Simba.
Mechi itaisha kwa Rs Berkane kushinda kuanzia goli tatu.....
Let's meet on Saturday after the match!!!
Kama ni bora hivyo kama unavyotuaminisha kwa nini wapo shirikisho na sio CAF champions league? Ondoa utahira wako hapaNikiwa kama shabiki wa Simba nimejaribu kuangalia mechi tano za Rs Berkane nimegundua jamaa wapo vizuri kwenye idara zote na huwa wanacheza kimkakati zaidi.
Rs Berkane wanaizidi Simba katika idara zote na mipango mikakati kuelekea kwenye mechi ya kwanza ya fainali,kikosi chao ni bora karibu mara hamsini ya kikosi cha Simba.
Mechi itaisha kwa Rs Berkane kushinda kuanzia goli tatu.....
Let's meet on Saturday after the match!!!
Daah umenikumbusha Mecco mchezaji wangu marehemu Nassibu Abasi na Daud kufakunoga wa Lipuli FC.shabiki wa simba mwenye fikra kama zako unatakiwa uhamie lipuli fc ya iringa au mecco fc ya mbeya.
Simba anacheza fainali, utopolo kazi kuanzisha nyuzi za makasiriko.Nikiwa kama shabiki wa Simba nimejaribu kuangalia mechi tano za Rs Berkane nimegundua jamaa wapo vizuri kwenye idara zote na huwa wanacheza kimkakati zaidi.
Rs Berkane wanaizidi Simba katika idara zote na mipango mikakati kuelekea kwenye mechi ya kwanza ya fainali,kikosi chao ni bora karibu mara hamsini ya kikosi cha Simba.
Mechi itaisha kwa Rs Berkane kushinda kuanzia goli tatu.....
Let's meet on Saturday after the match!!!
Huo ndio ukweli Simba atafungwa tuushabiki wa simba mwenye fikra kama zako unatakiwa uhamie lipuli fc ya iringa au mecco fc ya mbeya.
Kumbe shirikisho vilaza ndio wapo uko na berkane alijikuta anasokomezwa uko bila kupenda🤣🤣🤣Kama ni bora hivyo kama unavyotuaminisha kwa nini wapo shirikisho na sio CAF champions league? Ondoa utahira wako hapa
Huo ndio ukweli wenyewe. Timu za huko hazizidiani uwezoKumbe shirikisho vilaza ndio wapo uko na berkane alijikuta anasokomezwa uko bila kupenda🤣🤣🤣
Kwanini Tambi Tambi mkuu 🤣🤣🤣SAWA MTABIRI TAMBI TAMBI.
Ila Unajaza serva za Jamii Forum na serva zinalipiwa.
Unaonaje kulipia upumbavu kama unaouandika??????????