RS Berkane vs Simba. Mechi itaisha kwa RS Berkane kushinda kuanzia goli tatu, Simba ataambulia sifuri!

Sawa tumekusikia tunashukuru kwa uchambuzi wako lakini Simba hatujawahi sema Simba ni kubwa kuliko Berkane, tunaenda mchezoni huku tukiwaheshimu na kuipambania timu na Taifa.
 
Unazingua wewe ni utopwax
 
Kingine nimeona Rs Berkane ni watu wa fitina sana mechi ya Morocco itachezwa saa nne usiku ila ya Tanzania ni saa kumi na mbili jioni na wala sio saa kumi.......hapo jua limepoa waarabu ni mwendo mdundo!
 
Hili ndio tatizo la mashabiki wa yanga (daimambere nyumba mwiko)
 
Kitanda chako namba ngapi pale milembe?

Maana Vyurani wenye hamnazo wako wawili na mmoja yuko chini ya uangalizi wa Madaktali (Mzee Magoma).
 
Hofu yao ni nini Hadi wanapiga zengwe la kukwepa KWA mkapa
 
Naunga mkono hoja
 
Alafu ww jamaa ww hukuwa wale wahuni wa Isanga Mbeya enzi za kina brigadia Mwakayugu
Enzi za kina Atu Mwaijande huyu Brigadier Mwakayugu alikua jirani yangu pale chini ni brother zetu wale ila nilimpokea SA alikuja miaka hiyo baadae aliona hawezi kwenda na sera zangu alihamia Hiilbrow na baadae kurudi Tanzania Mwakayugu alikua aharibu kwa watu wa nyumbani alikua bordgurd wetu..
 
Kumbe shirikisho vilaza ndio wapo uko na berkane alijikuta anasokomezwa uko bila kupenda🤣🤣🤣
Tukitoa alama za Shirikisho au Vilaza kuna timu msimu ujao hazitokuwa na sifa za kushiriki Mapinduzi Cup au hata hiyo Muungano.
 
Bahti ni kwamba UZI huwezi kuufuta...
 
Kweli ww mtoto wa Isanga mimi mtoto wa forest nipo Dar sshv daah poa sana mkuu nimefurahi. Mpaka Atu Mwaijande unampata kweli mbeya moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…