Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Karibu sana Atu nimesoma nae Mbalizi Sec na hapo kwenu Forest au Mafiati palikua na mtu wa kuitwa D Masoke msumbufu balaa waliwahi pigana na Mwakayugu nje ya Lift Valley hotel wakitafuta ukulu wa maeneo mpaka ilifikia vijana wa Mafiati walipigwa stop kuja kuzika makaburi ya Isanga mpaka wazee walipokaa disco ninyi wasizwa wa Forest ndio mlikua mnatusumbua sana Livingstone pale maana kiingilio mlikua mnakua nacho na hela za soda na mnakuja na pisi maana uhakika wa usafiri upo...nipo Jozi ila Naishi Arusha karibu sana Legend mwenzangu tupo pamoja nina history na Mbeya maana club tulikua tunasota kwa mguu DJ Ayeya dereva wa Mby day..Kweli ww mtoto wa Isanga mimi mtoto wa forest nipo Dar sshv daah poa sana mkuu nimefurahi. Mpaka Atu Mwaijande unampata kweli mbeya moja.
Atu nilikuwa namfahamu sana mpaka marafiki zake. Daudi Masoke mbabe alikuwa Mafiat na kina wane star japo wane alikuwa mtu wa kuruka sarakasi zaidi. Forest tulisumbua sana lkn ngumi tulikuwa hatujui sehemu zetu pendwa ni Lift Valley Hotel na Maunt livingstone.Karibu sana Atu nimesoma nae Mbalizi Sec na hapo kwenu Forest au Mafiati palikua na mtu wa kuitwa D Masoke msumbufu balaa waliwahi pigana na Mwakayugu nje ya Lift Valley hotel wakitafuta ukulu wa maeneo mpaka ilifikia vijana wa Mafiati walipigwa stop kuja kuzika makaburi ya Isanga mpaka wazee walipokaa disco ninyi wasizwa wa Forest ndio mlikua mnatusumbua sana Livingstone pale maana kiingilio mlikua mnakua nacho na hela za soda na mnakuja na pisi maana uhakika wa usafiri upo...nipo Jozi ila Naishi Arusha karibu sana Legend mwenzangu tupo pamoja nina history na Mbeya maana club tulikua tunasota kwa mguu DJ Ayeya dereva wa Mby day..
Tunafamiana mkuu maana miaka hiyo mimi nimesoma Sinde Primary school na mechi za futbal tulikua tunakuja sana hapo Muungano,Manga na Mwenge beki wenu wa kati wa Muungano alichezea hadi daraja la kwanza kama namkubuka vizuri jamaa wa Ilolo alikua kakomaa hatari Boniface.Atu nilikuwa namfahamu sana mpaka marafiki zake. Daudi Masoke mbabe alikuwa Mafiat na kina wane star japo wane alikuwa mtu wa kuruka sarakasi zaidi. Forest tulisumbua sana lkn ngumi tulikuwa hatujui sehemu zetu pendwa ni Lift Valley Hotel na Maunt livingstone.
Mkuu umenikumbusha mbali sana barikiwa sana. By the way nilisoma shule moja inaitwa Muungano primary school
Atakuambia wakati inapata tiketi ya CAFCC haikua Bora Ubora umekuja baada ya kufunguliwa dirisha la Usajili na kusajili kibingwa.Kama ni bora hivyo kama unavyotuaminisha kwa nini wapo shirikisho na sio CAF champions league? Ondoa utahira wako hapa
Nipo kigamboni kaka😎😎Mkuu utakua lounge Gani ukitazama mechi ya kimbinu hii..
Nikiwa kama shabiki wa Simba nimejaribu kuangalia mechi tano za Rs Berkane nimegundua jamaa wapo vizuri kwenye idara zote na huwa wanacheza kimkakati zaidi.
Rs Berkane wanaizidi Simba katika idara zote na mipango mikakati kuelekea kwenye mechi ya kwanza ya fainali, kikosi chao ni bora karibu mara hamsini ya kikosi cha Simba.
Mechi itaisha kwa Rs Berkane kushinda kuanzia goli tatu.....Let's meet on Saturday after the match!!
Nampata sana Boni ni kweli amecheza daraja la kwanza duuh ww jamaa huenda nakupata pia wadau wengi waliosoma Sinde, Manga nawajua vizuriTunafamiana mkuu maana miaka hiyo mimi nimesoma Sinde Primary school na mechi za futbal tulikua tunakuja sana hapo Muungano,Manga na Mwenge beki wenu wa kati wa Muungano alichezea hadi daraja la kwanza kama namkubuka vizuri jamaa wa Ilolo alikua kakomaa hatari Boniface.