RSM (Regimental Sergeant Major) wa Jeshi la Wananchi - JWTZ

Wale wazee wanaa sana. Alikwepo RSM kayange. Mzee anasauti ya kijeshi na popote akiwepo utajua tu kayange yupo.
 
Mbona kuna ndugu yetu alikuwa Rsm yeye alikuwa mlevi tu na ana tukana hovyo hovyo
 
Kusahulika hutokea sijui kwa Nini baadhi ya watu jeshini husaulika mchango wao haswa wanapotajwa wengine baadhi Wana sahulika Hali walishiriki
 
Yanajua kwata hayo madingi usipime.
Hapo umesema baba!! Sie tulikuwa nae pale 835 kj kipindi tunajiandaa na passing square Alikuw anakuja kutupa demo anajua balaa!!. Sema m'o sio mojaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…