Great thinker huyo anatoa taarifa! Aisee!!!!Russia kila kitu kimedhibitiwa ni marufuku kulalamika,wanasayansi waliomtapeli Putin kuwa hypersonic misile walizotengeneza haziwezi kudunduliwa wako ndani baada ya kuona zinashushwa kirahisi sana na patriot ADs
Meli kubwa kabisa ya kivita ya MOSKVA ilipozamishwa, Russia ikapinga kuwa meli haijazamishwa. Baadae wakakiri ni kweli imezamishwa, wale viongozi wote wa meli wakawekwa ndani.Russia kila kitu kimedhibitiwa ni marufuku kulalamika,wanasayansi waliomtapeli Putin kuwa hypersonic misile walizotengeneza haziwezi kudunduliwa wako ndani baada ya kuona zinashushwa kirahisi sana na patriot ADs
UKwa nilivyosoma jana Ukrain sio ruhusa mwananchi kurekodi tukio lolote. Ikitokea atakamatwa na kupewa kesi. Ukrain video zake wanatoa ki propaganda tu(serikali yenyewe)
Limitation. Aljazera tv ilikuwa inarusha uhalisia wa vita vya USA na Iraq pamoja na kule Afghanistan unajua kilicho wakuta Kutoka kwa marekani?. Unakumbuka wakati wa uchaguzi 2015 Tanzania ITV kilichowakuta?.Acha kupotosha!!hayo mashirika ya tv ya kimataifa yanayo onyesha live kile kinachotokea UKRAINE kila siku mbona hayafungiwi?
Limitations zipi hizo? Hiki ndio kituo cha tv kinachoonyesha matukio halisi yanayotokea popote duniani, na ndio maama Israel hapatani nacho kabisa,Limitation. Aljazera tv ilikuwa inarusha uhalisia wa vita vya USA na Iraq pamoja na kule Afghanistan unajua kilicho wakuta Kutoka kwa marekani?. Unakumbuka wakati wa uchaguzi 2015 Tanzania ITV kilichowakuta?.
Da waafrika mna akili fupi , Urusi ndo inakuumiza hv ? Ndio maana mmeng'ang'ania dini za watu mnauana kumbe ni akili zenu fupMkuu ebu lala upumzishe akili from stress and chuki, ulichokiandika ni pumba na ushabiki maandazi tu, kama nikuhusu propaganda hao west na marekani ndio wanaongoza kuwalisha watu wao
Mkuu rudi milembe , unahis Ukraine wana serikali ya kipropaganda kama Urusi , kama waliweza kuandamana mwaka 2013 kumtoa rais wa kipind hicho je watashindwaj kumtoa huyu kama anafanya wasichokitaka ? Au unahis wazung ni mazuz wenzioKwa nilivyosoma jana Ukrain sio ruhusa mwananchi kurekodi tukio lolote. Ikitokea atakamatwa na kupewa kesi. Ukrain video zake wanatoa ki propaganda tu(serikali yenyewe)
Patriot ipi? Zile zilizo chakazwa 6 kwa mpigo?Russia kila kitu kimedhibitiwa ni marufuku kulalamika,wanasayansi waliomtapeli Putin kuwa hypersonic misile walizotengeneza haziwezi kudunduliwa wako ndani baada ya kuona zinashushwa kirahisi sana na patriot ADs
Hata kwa simu Yako unaweza kuipata TU.live bila chenga.Weka link ya telegram link kiongozi
Pumba tupuRussia kila kitu kimedhibitiwa ni marufuku kulalamika,wanasayansi waliomtapeli Putin kuwa hypersonic misile walizotengeneza haziwezi kudunduliwa wako ndani baada ya kuona zinashushwa kirahisi sana na patriot ADs
Duh!wewe jamaa..NIMECHUNGULIA KULE NIMEONA NI PROPAGANDA ZIKILENGA , KUWAAMINISHA WANANCHI WA URUSI KUWA UKRAINE NI WANAZI KAMA WA KIPINDI KILE CHA HITLER, YAAAANI. ZELENSKY NI HITLER WA SASA....
HII NI HATARI MAANA WANANCHI WENGI WATAJIUNGA KATIKA HULKA ZA KUPIGANA VITANI
NDO MAANA NKASEMA VITA INA PANDE MBILI , HUKU TUNAONA WANA UKRAINE WAKIPIGANIA ARDHI YAO KULE TUNAONA NI KUWA PROPAGANDA ZA KUWAAMINISHA WARUSI KUWA KUNA UNAZI UKRAINE