RTO Arusha, jipange na watu wako kabla hujapangwa. Matumizi ya barabara yapo hovyo

RTO Arusha, jipange na watu wako kabla hujapangwa. Matumizi ya barabara yapo hovyo

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Nilikuwa sijafika Arusha miaka 15 sasa siku hizi inaitwa Chuggastan na barabara za lami zimesheheni mitaa ya Picnic nilipofika.
Sasa tatizo ni bodaboda mitaa hiyo ni hatari na hawafuati sheria kabisa huku wakijifanya mahodari sana kukimbiza hovyo vipando vyao.
Tahadhari Ukiwa Arusha ogopa bodaboda kuliko magari kwani traffic hawana habari nao.
 
Lami ni nyingi sana sasa hivi
 
Kwa sasa Arusha inaweza kuwa inaongoza kuwa jiji la hovyo kwa watumiaji barabara hasa eneo la mjini kati. Aina na watu na tabia zake inahitaji kuweka utaratimu wa parking, uelekeo wa njia.

Mjini kati kumekuwa na matumizi ya hovyo sana ya barabara, double parking afu bado njia zinapitisha magari kwa kupishana.

Hebu trafiki Arusha kuweni wabunifu.

Soma Pia: Ni mamlaka ipi yenye wajibu wa kusimamia matumizi salama ya barabara katikati ya jiji la Arusha?
Ni binamu na kitu ya Awadh, inamkusanyia mapato tangu ikiwa Kilimanjaro, hakuna wa kumwodoa huyu
 
Back
Top Bottom