RTO Arusha, jipange na watu wako kabla hujapangwa. Matumizi ya barabara yapo hovyo

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Nilikuwa sijafika Arusha miaka 15 sasa siku hizi inaitwa Chuggastan na barabara za lami zimesheheni mitaa ya Picnic nilipofika.
Sasa tatizo ni bodaboda mitaa hiyo ni hatari na hawafuati sheria kabisa huku wakijifanya mahodari sana kukimbiza hovyo vipando vyao.
Tahadhari Ukiwa Arusha ogopa bodaboda kuliko magari kwani traffic hawana habari nao.
 
Lami ni nyingi sana sasa hivi
 
Ni binamu na kitu ya Awadh, inamkusanyia mapato tangu ikiwa Kilimanjaro, hakuna wa kumwodoa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…