Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi.

Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji.

Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa sasa zikiongozwa na maafisa wa Kaunti ya Kiambu na maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Kenya. Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi yuko eneo husika akishiriki shughuli za uokoaji.

======
Two people have been confirmed dead while one has been rescued after a five-storey building collapsed at Ruaka in Kiambu County early Thursday morning.

The building collapsed at around 3:30 am and collapsed on adjacent building where tenants were asleep.

Rescue efforts are currently ongoing led by Kiambu County officials and Kenya Defence Forces officials.
Kiambu Governor Kimani Wamatangi is also on location participating in the rescue operations.
 
Back
Top Bottom