Ruangwa kama Chato

Ruangwa kama Chato

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.

Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.

Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli?

Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.

Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara?

Amesahau yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Atumikie watanzania wote kwa usawa.
 
Wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 , sisi Watu wa Kyela tuliokuwa tunampinga Mwakyembe (Aliyetajwa kama PM ajaye) Tulishambuliwa vibaya mno.

Binafsi nimefuatwa inbox na zaidi ya watu10 ili nisimpinge Mwakyembe maana akiwa Waziri Mkuu Kyela yetu ingekuwa Paradiso , Hata hivyo Mwakyembe alipewa ushindi wa mabavu na alipokosa U PM Kyela yote iliripuka kwa furaha (sijui kwanini) .

Nadhani haya ya Ruangwa ndio niliyokuwa naambiwa inbox na wadau .
 
Mkuu acha tu wajenge kwao,nipo Butiama jioni hii,nimetoka kumuagiza boda maziwa mtindi boda kaniambia huwezi kupata,nimeenda mwenyewe kutafuta,Hakuna duka linalouza mtindi butiama.Naongelea maziwa mtindi guys,Butiama inasikitisha sana.Acha viongozi wajenge kwao.
 
Kama hiyo miradi inaenda kuinufaisha Lindi basi sioni shida,nachukia sana mnavyotucheka kwamba hatujapiga hatua;ila kaeni mkijua kwamba hata hatua mliopiga katika mikoa yenu ilitokana na jitihada ya viongozi wa serikali(ndugu zenu) kuelekeza kila mradi wa maendeleo katika mikoa yenu na wakatuacha sisi wanakusini,hapo kabla, kila jambo zuri lilielekezwa sijui Dodoma,Arusha mara shinyanga..

Tawala zilizopita zilikuwa za hovyo sana maana zilijawa na unyumbani,na si utanzania.

Acheni nasi wanalindi tufaidi maana hii nchi sio ya baba yenu bali ni yetu sote.[emoji57]
 
Waziri mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa. Hajui yeye ni waziri mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja. Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli? Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.

Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara? Amesahau yeye ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Kila mbunge alitoa ahadi zake jimboni ,nenda kamuulize mbunge wako ahadi zake ziko wapi
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo? Tuanzie hapo kwanza kiongozi
 
Waziri mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa. Hajui yeye ni waziri mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja. Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli? Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.

Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara? Amesahau yeye ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Haya mambo waliyaanzisha mawaziri wakuu waliokuwa wanatokea mikoa ya Kaskazini i.e Arusha Klm na Manyara
 
Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.

Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.

Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli?

Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.

Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara?

Amesahau yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Walimu wengi waliopata ajira juzi wamepangwa Lindi huko nyumbani kwa diblo dibala
 
Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.

Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.

Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli?

Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.

Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara?

Amesahau yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Si tulikubaliana kuwa, Chadema walituchelewesha sana kupata maendeleo,nasema uongo ndugu zangu!
 
Mkuu acha tu wajenge kwao,nipo Butiama jioni hii,nimetoka kumuagiza boda maziwa mtindi boda kaniambia huwezi kupata,nimeenda mwenyewe kutafuta,Hakuna duka linalouza mtindi butiama.Naongelea maziwa mtindi guys,Butiama inasikitisha sana.Acha viongozi wajenge kwao.
Umeongea kwa uchungu sanaa mkuu
 
Back
Top Bottom