Ndiyo nini hicho?Wata a nuzi!
Wewe ndio umeangalia TBC weka source utetee hoja yako. Unafikiri kila aliyepo Jf yupo kijijini kama wewe unatungatunga tu stori zisizokuwepoEndelea kuangalia TBC ukweli na uhakika.
Ingezuiaje?Israel ilirusha ndege zake za kivita kwenda kuizuia ndege hiyo angani
Suicide, pilots wengi sana wamekua wakijiua kwa kuangusha ndege na hii kesi ni mojawapo.Loh lengo la kuidondosha ndege ikiwa na abiria ni nini hasa?
Hii ya kuchoma kisu na kumwagika damu ilitolewa na binti aliyekuwa abiria baada ya ndege kutua salama.Nonsense! Habari haipo hivyo ulivyoandika hakuna rubani aliyemchoma kisu mwenzake Bali yalitokea Mabishano Makali baina ya marubani
Lengo ni kuilipua angani endapo ingelengwa kuangushwa sehemu nyeti kama ilivyofanywa Twin Tower Marekani japo hawakuizuia isipokuwa ile ya Pentagon.Ingezuiaje?
Nimejiuliza kama wewe mkuuIngezuiaje?
Suicide attempt! Kobazi kwenye ubora wao alitaka kufa na raia wa IsraelLoh lengo la kuidondosha ndege ikiwa na abiria ni nini hasa?
Mbona Inasemekana ilikuwa terrorist attempt. Rubani alimchoma kisu co pilot ili a take control ya ndege. Akailipue kwa kui rash lakini abiria wakaingilia kati nakumdhibiti. Kulikuwa na marubani wengine wenye asili ya kizungu in civilian clothes wakaenda usukani na kusaidia kutua salama.Bora Mamlaka ziliingilia kati na kusaidia kuokoa maisha ya abiria
Vinginevyo ingekuwa janga la maafa
Aisee, ni tukio la hatari sanaMbona Inasemekana ilikuwa terrorist attempt. Rubani alimchoma kisu co pilot ili a take control ya ndege. Akailipue kwa kui rash lakini abiria wakaingilia kati nakumdhibiti. Kulikuwa na marubani wengine wenye asili ya kizungu in civilian clothes wakaenda usukani na kusaidia kutua salama.
Inasemekana huyo rubani aliyetaka kuteka ndege ni raia wa Iran.
Huyo rubani ni mchawi. Amewezaje kuingia na kisu Airport 🛫 🛬 wakati vitu vyenye ncha kali haviruhusiwi kabisa?Ndege ya abiria aina ya Boeing 737 MAX inayomilikiwa na shirika la Fly Dubai, iliyokuwa ikielekea mjini Tel Aviv, ilituma kodi ya dharura 7500, ishara ya kimataifa inayotumiwa kuashiria kuwa ndege imetekwa au kuna uingiliaji haramu wa safari
Chanzo cha Hali Taharuki:
- Hakukuwa na utekaji wa ndege. Kodi hiyo ilitumwa baada ya kuzuka kwa ugomvi mkali na vita kati ya marubani wawili ndani ya chumba cha kuendeshea (cockpit), uliosababisha rubani mmoja kupoteza fahamu.
Israel ilirusha ndege zake za kivita kwenda kuizuia ndege hiyo angani. Mkutano wa Dharura: Waziri Mkuu wa Israel na Waziri wa Ulinzi waliitisha kikao cha dharura cha usalama.
Kutoweka Mtandaoni: Ndege hiyo iliacha kuonekana kwenye mfumo wa umma wa kufuatilia safari za angani.