Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

Aisee, ni tukio la hatari sana

Hao waajemi bado hawaaminiki tu 🙌
Sorry ni raia wa Oman. Inasemekana intention yake ilikuwa kuibamiza ardhini ama kwenye majengo telaviv. Ama kuipeleka Iran.

Ila abiria walipambana naye. Co pilot naye alipambana naye kabla ya abiria kufika lakini alichomwa visu vya kutosha. Kulikuwa na marubani wawili nyuma ya ndege walivaa nguo za kiraia ndio waliingia usukani nakusaidia ndege kutua salama. Yani lengo la gaidi lingetimia leo kobaz na wagalatia uchwara kina 100 others zitto junior na Kambaku wangeshangilia na kusheherekea.

 
Huyo rubani ni mchawi. Amewezaje kuingia na kisu Airport 🛫 🛬 wakati vitu vyenye ncha kali haviruhusiwi kabisa?
Israel inalalamika. Huyo rubani ni mu omani. Na mkataba Israel iliweka na fly dubai marubani wanaondesha ndege hizo kuingia Israel wasiwe kutoka nchi maadui wa Israel. Natamani kujua huyo rubani mwengine aliyechomwa kisu ni raia wa nchi gani.

Itmar be gvir waziri katili kwa maadui wa Israel kasikitika kwanini hiyo ndege haikutua Israel ili amshughulikie mwenyewe huyo rubani gaidi.
 
Milekowsky anasema rubani mmoja alimchoma kisu rubani mwenzake na kujaribu kuiangusha ndege, lakini kuna jambo moja linalohitaji maelezo.

Anadai kwamba rubani mmoja na mhudumu wa ndege kwa namna fulani “WALIFANIKIWA KUVUNJA NA KUINGIA KWENYE CHUMBA CHA MARUBANI” na kumdhibiti mshambuliaji.

Milango ya vyumba vya marubani kwenye ndege za kibiashara imeundwa ikiwa imeimarishwa na hufungwa wakati wa safari ili kuzuia kuingiliwa kwa nguvu tangu baada ya mashambulizi ya 9/11. Kwa hiyo, waliwezaje hasa “KUVUNJA NA KUINGIA” kwenye chumba cha marubani kilichokuwa kimefungwa?
 
Milekowsky anasema rubani mmoja alimchoma kisu rubani mwenzake na kujaribu kuiangusha ndege, lakini kuna jambo moja linalohitaji maelezo.

Anadai kwamba rubani mmoja na mhudumu wa ndege kwa namna fulani “WALIFANIKIWA KUVUNJA NA KUINGIA KWENYE CHUMBA CHA MARUBANI” na kumdhibiti mshambuliaji.

Milango ya vyumba vya marubani kwenye ndege za kibiashara imeundwa ikiwa imeimarishwa na hufungwa wakati wa safari ili kuzuia kuingiliwa kwa nguvu tangu baada ya mashambulizi ya 9/11. Kwa hiyo, waliwezaje hasa “KUVUNJA NA KUINGIA” kwenye chumba cha marubani kilichokuwa kimefungwa?
Waliweza kuingia kwasababu rubani aliyechomwa visu alipambana sana na kufungua huo mlango hiyo ndo ilisaidia. Ni daktari wa meno dentist abiria alimpa fest eid ndo ilimsaidia ila hali yake siyo nzuri. Unaambiwa baada ya abiria kuingia kwenye cockpit walimkabidhi hilo gaid vitasa vya maana. Nadhani sasa hivi linalia na kulaani kukosa mibikra 72 yenye macho kama vikombe na mito na maporomoko ya gambe huko kuzimu (Pepo ya kobaz)
 
Sorry ni raia wa Oman. Inasemekana intention yake ilikuwa kuibamiza ardhini ama kwenye majengo telaviv. Ama kuipeleka Iran.

Ila abiria walipambana naye. Co pilot naye alipambana naye kabla ya abiria kufika lakini alichomwa visu vya kutosha. Kulikuwa na marubani wawili nyuma ya ndege walivaa nguo za kiraia ndio waliingia usukani nakusaidia ndege kutua salama. Yani lengo la gaidi lingetimia leo kobaz na wagalatia uchwara kina 100 others zitto junior na Kambaku wangeshangilia na kusheherekea.

Myahudi kutoka Tarime...
 
Kulikuwa na marubani wengine wenye asili ya kizungu in civilian clothes wakaenda usukani na kusaidia kutua salama.
... Ndege destination ni Tel Aviv tena kipindi hiki cha vita huko ME lazima iwe na kila aina ya experts anonymously!
 
FZ1073: A "False Flag"
Flight tracking data showed the aircraft plunging nearly 14,000 feet in just 30 seconds. Subsequently, the transponder broadcast code 7500, the internationally recognized signal for a hijacking.
The official explanation? The two pilots got into a fistfight in the cockpit.

That was it. Two adult male pilots at an altitude of 10,000 meters, in a cockpit where the autopilot was functioning normally decided to brawl, sending the plane into a near-vertical dive. Then, passengers supposedly stormed the cockpit and subdued one pilot while the other suffered knife wounds; miraculously, the plane pulled out of the dive and landed safely.

This isn't an incident report. It’s a rough draft for a Bollywood script. And the person who wrote it clearly took the audience for fools.

After the plane landed in Tabuk, photos surfaced. A section of the vertical stabilizer's rudder was missing. There were visible cracks and missing panels in the tail structure.

The official explanation: Extreme aerodynamic stress, the tail withstood excessive force during the rapid descent, causing the structure to crack.

But physics tells a different story.

For a 737 MAX 8 flying at cruising speed (approximately Mach 0.78), the aerodynamic load on the rudder is immense. If the rudder were to partially detach during flight, the aircraft's yaw control would be immediately and severely compromised. The pilots would need to apply massive rudder trim inputs just to maintain their heading. This was not a structural crack. It was a control surface failure.

More crucially: if the rudder was damaged by aerodynamic stress during a rapid descent, the aircraft would have already lost full yaw control while falling. A 737 that loses its rudder during a dive cannot be saved by passengers rushing into the cockpit. Recovery requires managing asymmetric thrust from the engines, precise pitch trimming, and continuous yaw correction tasks far beyond the capabilities of untrained passengers.

Unless, the rudder damage wasn't caused by "aerodynamic stress," but by something else.
The timing of this incident is unsettlingly precise.

On September 27, Milekewosky flew secretly to Abu Dhabi for a six-hour meeting with UAE President Mohamed bin Zayed. Israhell media reported that Iran was the central topic; he warned Bin Zayed that Iran could launch an attack within "weeks." The talks also involved senior representatives from Saudi Arabia, Jordan, and Morocco, focusing on Iran, the threat posed by the Houthis, and air defense cooperation.

On September 30, a flight from Dubai to Tel Aviv transmitted a hijacking code while over Saudi airspace. Israhell fighter jets scrambled, and Milekewsky convened an emergency security meeting. He then issued a personal video statement, labeling the event an "attempted terrorist attack" by "jihadists."

Three days. That is the span between the warning of a potential Iranian attack and the emergency of an attempted hijacking. He needed evidence to prove his warnings were correct. He needed a "terrorist attack" to justify his hardline stance against Iran as necessary. And the perfect stage for this "terrorist attack" happened to be a flight from Dubai to Tel Aviv, a route connecting the UAE and Israel, two nations that had just held talks with him.

What kind of Jihadist?

No name. No nationality. No organization. No statement. No background. Flydubai refused to disclose the nationalities of the two pilots. Israhell officials spoke of a "Jihadist" but failed to specify which group. They didn't explain why a Jihadist would be working as a pilot for Flydubai, how he passed background checks, or why he chose to strike on a flight to Tel Aviv rather than on a flight to Dubai or at any other moment where success might have been easier.

This wasn't an intelligence assessment; it was a campaign slogan.

Israhell general election is scheduled for October 27 four weeks away. On September 29, Milekowsky warned that an attack might occur before the vote. A day later, the "attack" happened. He then personally appeared on television, casting himself as the leader who "thwarted a terrorist attack."

This wasn't counter-terrorism; it was a campaign ad. And the cost of filming that ad was the tail section of a 737 MAX 8 and the lives of 174 passengers.

7500 Code

The first code transmitted by the aircraft was 7700 indicating a general emergency. Seven minutes later, the code switched to 7500 signaling a hijacking or unlawful interference. Subsequently, the code reverted to 7700.

Why would a plane hijacked by a "Jihadist" switch the hijacking code back to a general emergency code after seven minutes?

If a hijacker had seized control of the cockpit, the code should have remained 7500 throughout. If the hijackers had been subdued, the transponder code should have been changed to 7600 (radio failure), 1200 (VFR flight), or 7000 (standard code). What does switching to 7700 signify? It implies the people in the cockpit are saying: "There is an emergency, but it is not a hijacking."

Yet, the Israhell side insisted it was an "attempted hijacking."

Because a "jihadist hijacking" is more newsworthy than a "pilot brawl." Because "jihadists" can be linked to Iran, because Iran is a central issue in election campaign.

A piece of the tail fin was missing. The plane dropped 14,000 feet in 30 seconds. Officials claimed this was caused by a fight between the two pilots.

Physics disagrees. Aeronautical engineering disagrees. Common sense disagrees.

An aircraft that loses control of its rudder surface while cruising does not regain stability simply because a passenger rushes into the cockpit. A "jihadist" pilot would not have a name. An "attempted terrorist attack" would not happen to occur exactly four weeks before an election

FZ1073 was not a hijacking. FZ1073 was a performance. The script was crude and the casting sloppy, but it achieved the effect Milekowsky desired: Israhellis were frightened, media headlines ran the story on a loop, and Iran the "threat" he had warned against in Abu Dhabi just three days prior was once again implicated as the mastermind.

The only cost? The tail fin of a 737 MAX 8, the lives of 174 passengers, and the truth.
 
AI inatuambia:

Matukio hayo yanahusu tukiola dharura kwenye ndege ya shirika la Flydubai (Ndege namba FZ1073) iliyokuwa inasafiri kutoka Dubai kwenda Tel Aviv, Israel:

  1. Ghasia na Shambulio Ndani ya Cockpit:Ndege hiyo ilipokuwa angani, mepambano na ugomvi mkubwa uliibuka ndani ya chumba cha marubani (cockpit). Taarifa kutoka kwa abiria na vyombo vya habari zinaeleza kuwa rubani mwenza (co-pilot) alimchoma kisu rubani mkuu (captain) kwa kutumia kisu kidogo cha mfukoni, na kusababisha majeraha makubwa na damu kusambaa.
  2. Jaribio la Kudondosha Ndege:Rubani huyo mwenza anatuhumiwa kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege ili kuidondosha kwa makusudi. Ndege hiyo (Boeing 737) iliporomoka kwa ghafla kutoka kimo cha futi 34,000 hadi chini ya futi 17,000 ndani ya muda mfupi sana, jambo lililozua hofu kubwa kwa abiria.
  3. Kuingilia Kati kwa Abiria na Marubani Wengine:Abiria waliokuwa karibu (wakiwemo marubani wengine wawili waliokuwa wakisafiri kama abiria wa kawaida) walisikia vigelegele na kelele kutoka ndani ya cockpit. Kwa ushirikiano wa wafanyakazi wa ndege na abiria, walifanikiwa kumkabili na kumdhibiti rubani huyo mwenza aliyekuwa na kisu.
  4. Kutua kwa Dharura:Baada ya hali kudhibitiwa na kurudisha mwelekeo wa ndege, ndege hiyo ilielekezwa upya na kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Tabuk nchini Saudi Arabia, ambapo majeruhi walipatiwa matibabu na uchunguzi rasmi wa tukio hilo ukaanza.
 
Huo ni ujinga. Imeelezwa jinsi yule mhindi alivyofungua mlango na kupiga kelele help help. Nyie wabishi tu





Screenshot 2026-10-01 at 11.47.55.png
 
Bado naliona hili tukio kama DRAMA kupelekea ELECTIONS....
Ni ngumu ingawa inawezekana...immediately atokee abiria mwenye uwezo na ku rescue....
Vipi aliingia na kisu...
Lakini pia pilot cabin huwa inafungwa kuzuia abiria on and out
 
Itakuwa picha li kihindi mana maelezo mengi lkn kifo hakuna!!!!!
 
Nonsense! Habari haipo hivyo ulivyoandika hakuna rubani aliyemchoma kisu mwenzake Bali yalitokea Mabishano Makali baina ya marubani
Acha kudanganya watu huyo rubani alitaka kufanya Sept 11 huko Israel Rubani huyo aliokoa maisha ya abiria.......

Kapteni wa Fly Dubai Smith Machar, rubani wa India, bado amelazwa hospitalini Saudi Arabia baada ya kudungwa kisu wakati wa shambulio la rubani wa ndege Jumatano ndani ya ndege iliyokuwa ikielekea Tel Aviv.

Machar alifungua mlango wa rubani, na kuruhusu abiria kuingilia kati na kusaidia kumshinda rubani mwenza wa Oman aliyejaribu kukamata udhibiti na kuiangusha ndege.

Abiria wa Israeli walionekana wakitoa msaada wa dharura kwa nahodha aliyejeruhiwa.

Katika mahojiano ya podikasti yapata mwaka mmoja mapema, Machar alikuwa amewataja wafanyakazi wenzake wa ndege: "Wakati mwingine, wanaweza kuokoa maisha yako."

Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu: Salamu zangu kwa rubani wa India Kapteni Smit Machchhar kwa ushujaa wake wa ajabu. Licha ya kudungwa kisu na kujeruhiwa vibaya, alipigana, alipinga, akafungua mlango wa rubani, na akawawezesha abiria na wafanyakazi kumshinda mshambuliaji - kuzuia janga kubwa la angani. Aliokoa maisha ya watu 174, wakiwemo raia wa Israeli na raia wengine. Namtakia Kapteni Machchhar kupona haraka na kikamilifu. Yeye ni shujaa wa kweli.

Tukio hilo pia limesababisha ukaguzi wa usalama wa Israeli wa marubani wa Oman wanaoendesha huduma za Fly Dubai nchini Israeli. Licha ya Israeli na Oman kutokuwa na uhusiano wa kidiplomasia, marubani kadhaa wa Oman wameingia katika anga za Israeli na kutua nchini Israeli kwa ndege za Fly Dubai katika miaka ya hivi karibuni. Mamlaka sasa yanachunguza taratibu za usalama zilizoruhusu shughuli hizo kufuatia tukio la leo.

View: https://t.me/selena_updates/70889
 
Back
Top Bottom