Wanapenda misifa sifa sana iyo Bravo yumkin anamipango ya siasa
Mwenzie kachuna kimyaa yeye ndio kaenda kudanganya ulimwengu
Lkn bado wamepoteza ndege 8 kumuokoa mtu
mmoja au wawili
Tatizo sio Samani ya Vitu au watu wawili
Tatizo ni Operesheni mbovu mwanzo mwisho
Yumkin makusudi wanafanya kumkaanga Trump
Kulazimisha Vita visivo na muhimu kwa maslahi ya Marekani ✍️