Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hivi Kuna Ndugu Mwingine Aliitwa George Mazula?? Naye alikuwa Rubani ATC?? Naomba Kufahamishwa TafadhaliFamilia ya Mazula ilikuwa familia rafiki sana na familia ya Mwalimu Nyerere.
Watoto wengi wa hii familia ni wasomi wakubwa wa enzi hizo
Nilimtembelea nyumbani kwake kabla,mwanae ni Rafiki yangu, alikuwa kakonda sana huyu mzee acha apumzike tuView attachment 2076364
Rubani wa Ndege iliyotekwa mwaka 1982 na vijana waliokuwa wakishinikiza Mwalimu Nyerere ajiuzulu, amefariki dunia.
Capt Deo Mazula alifariki tarehe 6 Januari 2022 na Kesho (Januari 11, 2022) anatarajiwa kuzikiwa jijini Arusha katika Makaburi ya Njiro.
Unaweza kusoma kuhusu kisa cha kutekwa kwa ndege hii, hapa Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?
Deo alikuwa ni kaka yake George Mzula na Wote sasa ni marehemu. R.I.P.Hivi Kuna Ndugu Mwingine Aliitwa George Mazula?? Naye alikuwa Rubani ATC?? Naomba Kufahamishwa Tafadhali
Watu humu kumbe ni wakongwe.Deo alikuwa ni kaka yake George Mzula na Wote sasa ni marehemu. R.I.P.
Watu humu kumbe ni wakongwe.
Sisi wenye 30's tunawasikiliza nyie tu
Wahenga tumo wa kumwaga, usituone tunatukanwa na vijana wa chadema ukadhani sote ni 30s.Watu humu kumbe ni wakongwe.
Sisi wenye 30's tunawasikiliza nyie tu
yasin memba, huyu ndo aliyeteka na wenzie nae amefariki..Memba!
Kuna Mazula mmoja kaburi lake liko Kinondoni pamoja na la mkewe yametengenezwa kwa slab (very nice)Hivi Kuna Ndugu Mwingine Aliitwa George Mazula?? Naye alikuwa Rubani ATC?? Naomba Kufahamishwa Tafadhali
Kama Bavicha wa leozamani Taifa lilikuwa kweli na vijana..
RIP Capt Mazura..
George Mazula jina lake alikuwa ni mwenye ku smile za zote na ni rafiki wa kila mtu.Aliwahi kufanya emergency landing na Fokker ya ATC ,matairi yalikataa kutoka na akaiweka ndege chini kwa tumbo salama salimini...hii ilikuwa DIA..Kuna Mazula mmoja kaburi lake liko Kinondoni pamoja na la mkewe yametengenezwa kwa slab (very nice)
Nilimtembelea nyumbani kwake kabla,mwanae ni Rafiki yangu, alikuwa kakonda sana huyu mzee acha apumzike tu