Rubber stamp parliament linakwenda kuziuza bandari za Tanzania kwa mafisadi. Kama lingekuwa na sauti Lisingekubali Ndugai kuvuliwa uspika.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi.

Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi?

Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi.

Tulitarajia Bunge kama msimamizi wa serikali limpinge rais.

Lakini hili sio bunge ni rubber stamp ya rais.

Leo wanaenda kupiga mhuri na kupitisha ufisadi uliowazi kabisa.
 
Pimbi wewe hujui lolote
 
Kuna yule kimbele mbele msukuma
 
Who is Ndugai katika nchi hii?. Utakufa kwa presha bila sababu.
 
Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi.
Huku ni kulidhalilisha Bunge!.
Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi?
Hakuna kosa lolote kwa Mtanzania yeyotekutoa maoni yake kuhusu jambo lolote. Baada ya Ayubu kutoa maoni yake, alipaswa kusimama na msimamo wake.

Kosa lake ni kuja kuomba msamaha batili kwa kuomba kusamehewa jambo ambalo sio kosa!.

Ayubu alijiuzulu mwenyewe!.
P
 
Ni tanzania pekee ambapo ukimpinga rais maisha/uhai wako unakuwa hatarini kupotezwa![emoji16]

Hao kina msukuma wanampaka mafuta samia kwa mgongo wa chupa (sio wazalendo wa kweli)
 
Hapa lazima tupigwe
 
viongozi mnaishi kwa hofu sana.. Samia mwenyewe alireact vibaya kauli ile ya ndugai hali iliyopelekea ndugai kuomba msamaha
 
We mpuuzi tu hujui lolote!! Uingereza bandari zinazoendeshwa na private sector zimeuzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…