Rubber stamp parliament linakwenda kuziuza bandari za Tanzania kwa mafisadi. Kama lingekuwa na sauti Lisingekubali Ndugai kuvuliwa uspika.

Rubber stamp parliament linakwenda kuziuza bandari za Tanzania kwa mafisadi. Kama lingekuwa na sauti Lisingekubali Ndugai kuvuliwa uspika.

Huku ni kulidhalilisha Bunge!.

Hakuna kosa lolote kwa Mtanzania yeyotekutoa maoni yake kuhusu jambo lolote. Baada ya Ayubu kutoa maoni yake, alipaswa kusimama na msimamo wake.

Kosa lake ni kuja kuomba msamaha batili kwa kuomba kusamehewa jambo ambalo sio kosa!.

Ayubu alijiuzulu mwenyewe!.
P
Acha uzwazwa wewe pimbi. Ayubu hakujiuzulu mwenyewe
 
Hata kama una akili fupi kama ile pingili ya mwisho!, huwezi kumjibu mtu bila kumtukana zwazwa, pimbi!.
Ayubu ni Mkuu wa mhimili, kama ni kweli jakujiudhuru bali alijiudhurishwa, then huyu alikuwa Mkuu wa mhimili zwazwa!.
Pimbi wewe!.
P
Hivi Pascal Mayalla unajisikiaje kusapoti upumbavu wa namna hii? Does it make sense to you?
 
Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi.

Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi?

Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi.

Tulitarajia Bunge kama msimamizi wa serikali limpinge rais.

Lakini hili sio bunge ni rubber stamp ya rais.

Leo wanaenda kupiga mhuri na kupitisha ufisadi uliowazi kabisa.
Hakuna binadamu atakayepuuza hisani akabaki salama. Wabunge wengi zaidi ya 90% wameingia bungeni Kwa mbeleko. Wakiulizwa wameingiaje hata wao hawajui wanaona wapo pale kama hisani toka Kwa aliyewapitisha. Mbunge aliyepambana kupata ridhaa ya Wananchi hawezi kuridhia huo uhuni wa Jana. Kwanza Mbunge gani asimame atuambie alichofanya Jana alitumwa na Wananchi wa Jimbo lake!! Asimame mmoja tumuone.
 
Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi?
Huyu kuondolewa ni sahihi kbs ✔️ maan ule mpango wao wa Atake asitake tutaa... Muongezeaaaa!! Ulikua mchafu kbs na huo ndio ukwerii.👇👇👇 Mpango ovu kbs.
 
Back
Top Bottom