Mkuu ukiisikiliza ile nyimbo ya ruby 'wale wale' utagundua ruby yupo sahihi kuchukua maamuzi Yale sema hakufanya wakati sahihiakitokea THT ni binti mnyange aliyetikisa anga la muziki wa bongo fleva mwaka uliopita..
Ana kipaji
Ana mvuto
Ana sauti
Lakini akakosa miongozo sahihi...utoto na pengine ulimbukeni wa kuwa maarufu ghafla kutokana na tungo zake tamu vilimchanganya hata kufikia kujiona kuwa sikio lake ni kubwa kuliko kichwa
Taratibu akaanza dharau na nyodo, akawadharau hata wadau muhimu kwenye industry, akatema bazoka kwa njugu za kuonjeshwa
Sasa Ruby wa mwaka jana si wa mwaka huu! Si habari tena, wengi wamepotea kwa njia hii list ni ndefu sana na hii yote imetokana na kujikweza na kulewa sifa haraka sana kabla ya mafanikio
Mkuu ukiisikiliza ile nyimbo ya ruby 'wale wale' utagundua ruby yupo sahihi kuchukua maamuzi Yale sema hakufanya wakati sahihi
Kama kweli clouds wana jali maslahi ya wasanii mbona barnaba mafanikio hayaendani na kipaji na recho je ndo maana ruby kuna mstari anasema
'ATAKUPA UNACHOTAKA AKUTUMIE ANAVYOTAKA
MUNGU MTU '
Ruby ameikimbia clouds kwasababu wanajali umaarufu kuliko pesa aliogopa ya lina recho amini na barnaba
Wanakufanya uwe maarufu lakini mfukoni njaaa imetawala
Go go ruby