mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 637
Kinachowapa jeuri clouds ni kwamba mpaka government wanaipa support na wana connection na wadau wengi wa mzikiRuby hawezi kupambana na media kama clouds fm,
E fm ndiyo wanao mpa kiburi ngoja avune alicho panda!
Amulize Rama Dee kicho mpata na kinacho endelea kumpata, Rama Dee katengwa na fans pamoja na kutoa hit song
Ukiwa na beef na clouds fm unatengwa hadi na inzi!
Boss Ruge si mtu wa mchezo mchezo!
Mziki wa clouds si wakitoto e fm ndio wanao ujua
[emoji2] [emoji2] mkuu ni kweli mvuto hana,cha ajabu Ney wa mitego amekula yule bintiAna kipaji, ndio! Ana sauti nzuri, ndio! Sema hapo kwenye mvuto naona unatuingiza Chaka. Au unatania Tu?
Sio baadhi sema karibu wote, kuna msanii gani ulishaona anaanda tamasha babu kubwa? Lazima liwe limeandaliwa na media yoyote au taasisikuna baadhi ya wasanii bila kushikwa mkono hawawezi kusimama wenyewe.Rubby ni mmoja wao sijui anapata wapi jeuri ya kutaka kusimama mwenyewe wakat miguu haina nguvu...wacha avunje meno sasa...
Kajitahidi kweli kujibenua, lakini wala, bado[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji7] kishoes naona kimefanya kolabo na picha
Sio kila MTU anamnyenyekea Huyo bosi wako au anamuogopa,kwanza jua rama dee anaimba for fun tu,na anamaisha anayofanya zaidi ya huo muziki,juzi juzi amepost Maneno kuntu kuhusu huyo boss wako ruge,kwamba hata yeye anapenda muziki wake sema kwa utaratibu wa hiyo media haiwezi piga muziki wake, endelea kumlamba miguu boss wako ili uende chooniRuby hawezi kupambana na media kama clouds fm,
E fm ndiyo wanao mpa kiburi ngoja avune alicho panda!
Amulize Rama Dee kicho mpata na kinacho endelea kumpata, Rama Dee katengwa na fans pamoja na kutoa hit song
Ukiwa na beef na clouds fm unatengwa hadi na inzi!
Boss Ruge si mtu wa mchezo mchezo!
Mziki wa clouds si wakitoto e fm ndio wanao ujua
Wakati mwingine huyo Ruge wanamuonea tu..Ruge alisema huo wimbo alitunga yeye Ruge akishirikiana na Barnaba
sijawahi sikia Ruby akikanusha hiyo
kama hadi nyimbo walimtungia huwezi sema hawana haki ya kumtumia....
Ndio Ana mvuto sema sio mzuriAna kipaji, ndio! Ana sauti nzuri, ndio! Sema hapo kwenye mvuto naona unatuingiza Chaka. Au unatania Tu?
Aisee hii balaa!Mwenzie jide Ana pesa na Ana mashabiki pamoja na watu wazito waliomzunguka mwenzangu na mie hata rafik na diwani hana anataka kupambas na clouds
Hili jiwe limerushwa gizani kwa ufundi na vigezo ngoja tusubiri likitua tutajua tuuRuby ni matunda ya watetezi fake wa mitandaoni... watetezi wasioweza kujitetea hata wenyewe lakini watataka kujifanya watetezi wa wasanii but ONLY AGAINST Clouds! Watetezi fake hawa mbele ya mabosi wao wanakuwa na adabu hadi wanaboa... wanaweza kuambiwa piga magoti na wakafanya hivyo wakitetea kibarua cha chenye mshahara wa Laki 7 kwa mwezi! Lakini wakisikia hata taarifa za kupika kwamba XY amewagomea Clouds ambao walitaka kumlipa Laki 5 kwa show hapo utawasikia... YES YES YES! Anajitambua huyo... jamaa wanyonyaji sana wale! Wanasahau Laki 5 hiyo wao wanaisotea kwa siku 30 tena wakiwa ni degree holders!! Na wakiaambiwa kama unaona ndogo acha kazi... WANAUFYATA! Lakini watajifaya kumtetea Dongo Janja asiye hata na cheti cha Form IV but always watajifanya kumtetea ONLY dhidi ya Clouds!!
HATE + HYPOCRISY = TEMPORARY MENTAL RETARDATION.
Hivyo basi, Ruby ni matunda ya wanafiki wenye tabia hizo hapo juu ambao mbaya zaidi, hata game linaendeshwaje hawafahamu! Wape wam-manage msanii ambae ameshatoka kama Harmonize; majority hawajui hata waanzie wapi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] aiseeeMwenzie jide Ana pesa na Ana mashabiki pamoja na watu wazito waliomzunguka mwenzangu na mie hata rafik na diwani hana anataka kupambas na clouds