Ruby! sifa zimemponza

Kwaumbo la mvuto sawa ila sura mmm kwaupande wangu nashindwa hata kukisia umri wake naona kama kamekomaahivi!
 
Redio inampa pesa nyingi tu
Kwanin asiwape hawa mabinti stahiki zao
Kwanin awanyonye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…