Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Redio inampa pesa nyingi tuMimi huwa nafikiria kama mimi ndio ningekuwa Ruge au mtu yoyote angekuwa Ruge tena mwanaume kamili kweli angekubali kuwatengenezea watu mkwanja na yeye asilambe hata kdogo, au watu waendeshe magari na yeye atembee kwa mguu, awatengenezee majina mabinti tusiowajua hadi kujilikana Tanzania nzima asile hata papuchi za hawa mabinti zikiwa za moto ziliwe na viongozi, mapedeshee na wauza sura wa mjini pekee...Nikifikiria haya mambo huwa simlaumu Ruge nafikiri anapaswa kupongezwa kwa kuiona fursa na kuyafanya maisha yake yawe rahisi mno.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Vibinti vya sasa vikiwa na chupi mbili na tait moja vinavimba sana,ngoja kapotee kana nyodo sana
Mshana kulee site umemuacha nani?Hapana
HahahahahMkuu nitumie hiyo video basi, sambaza upendo mkuu
Mkuu wewe unaona Hana mvuto lakini wengine wanamwelewa hii ni moja ya picha yake akiwa kwenye vazi la ufukweni!![]()
Mkuu embu fanya kunitumia hiyo video daaHivi mkuu rubby ndio huyo amber lulu video yake ya ngono iliovuja week hii au mwingine mshana jr
Hivi kumbe mademu mnafahamiana nani mkali na mwingine wa kawaida au mbaaaaaya kabisa?Im,im..
Hapo kwenye mvuto kwa kweli hapana, mshana rekebisha andiko lako.
He,heh...Hivi kumbe mademu mnafahamiana nani mkali na mwingine wa kawaida au mbaaaaaya kabisa?
Aisee kwa hiyo ukiona boy wako kakupiga chini akaenda kwa chuma kikali zaidi we unatulia tuu ama vipi?He,heh...
Tanafahamiana zaidi ya mnavyotufahamu